Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi siwezi kufa kwa ukimwi kwasababu nazingatia masharti ya kujikinga.
Nasikia kwenye sexual intercourse knachosababisha maambukizi ni michubuko..kwahiyo ukila kavu ukakojoa haraka kabla hujachubuka umepona! ila ukijifanya fundi ukasugua sana ndio mwanzo wa kupata ngoma!
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Mia
pole sana. Kwa nini tusipone baada ya rafiki yako kufa?
Umenikumbusha mbali sana wilaya moja Tanga jamaa alikufa kwa ngoma na akaandaa list ila zilitumika busara haikusomwa kama alivyokuwa ameomba ila ilitangazwa kuwa alikufa kwa Ngoma msibani! Baba Askofu (wa kilutheri) ndio aliitwa home na akaelezwa na mshkaji kila kitu kisha jamaa akatubishwa na kalala kwa amani huku akiacha list ndefu! Hadi leo wanaisha
khaaaa sikuelewi mm au mlikuwa na tabia ya kupiga mande tena usikute kavu kavu ,pole sana nenda kapime mkuu ujijue kabisa.nina huzuni sana kwa kuwa tulikuwa wote siku chache zilizopita lakini akaugua ghafla na akashindwa kabisa kumeza dawa na chakula,hospital wamesema ni ukimwi,nilie au nifanye nini mimi maskini,,,uuuuuuuuuuuuuuuuwi tutapona kweli????
huzuni yangu kubwa wewe ni moja ya tatu walioamua kuweka wazi ingawa tathimini inaonyesha wasiopima ni wengi wanaumwa kaugonjwa kuliko waliopima na wanaoendelea na dose
mvua jamani jangwani imejaa tena
mkuu hili nalo neno atiiii.Mie nimeona kama anaomboleza msiba ambao ni tofauti na ule aliotaka kutujulisha.......!!
Hii imenikumbusha mbali sana...."si wote wanaolia kwenye misiba ya kisasa anamlilia marehemu"!!
well said indeed.Mungu apishilie mbali...hata kama unazingatia masharti kwenye ajali nyingi zinazotokea watu mnaweza kuambukizana kutokana na majeraha mliyopata...!
sawa sawa FA hata mimi matumizi ya kondomu nayaogopa acha.....bora kupima than put ON!usiwe na wasiwasi kama hujachangia naye demu na nyendo zako ni safi. Vipi kama utaambukizwa wakati umeenda kupima au ukapewa majibu mbayo si yako.
Kwenye wasifu wa marehemu wekeni wazi kwamba ngwengwe ndio imemuua,ili vijana wetu wajue kwamba UKIMWI upo na unakill.
Elli hii mbona ipo kwenye kitabu bana
Kwenye wasifu wa marehemu wekeni wazi kwamba ngwengwe ndio imemuua,ili vijana wetu wajue kwamba UKIMWI upo na unakill.
mpendwa pole sana.nina huzuni sana kwa kuwa tulikuwa wote siku chache zilizopita lakini akaugua ghafla na akashindwa kabisa kumeza dawa na chakula,hospital wamesema ni ukimwi,nilie au nifanye nini mimi maskini,,,uuuuuuuuuuuuuuuuwi tutapona kweli????