Rafiki yangu amepata kazi ya kufunza chekechea Tanzania, ukiwa na pesa hizi Dar utaishi wapi?

Rafiki yangu amepata kazi ya kufunza chekechea Tanzania, ukiwa na pesa hizi Dar utaishi wapi?

fired

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2021
Posts
233
Reaction score
522
Rafiki yangu amepata kazi ya kufunza chekechea ya shilingi za TZ elfu mia moja thamanini huko Dar es Saalam. Ukiwa na pesa hizi Tanzania utaishi wapi kwenye usalama maji na stima. Na familia ya watu sita, nasikia ni pesa nyingi huko Tanzania
 
Unamaanisha anakuja Dar kuishi na familia ya watu sita wanaomtegemea na kwa mshahara wa laki moja themanini elfu? Huu ni mzaha.
 
Duh!. Jamaa atavuta mpunga mrefu sana. Hiyo hela anatakiwa kuwa na watchman, housegirl na houseboy na bado chaange inabaki nyingi sana.

Iwe familia ya watu 9.

Sehemu kuzuri kwake ni Masaki.
 
Duh!. Jamaa atavuta mpunga mrefu sana. Hiyo hela anatakiwa kuwa na watchman, housegirl na houseboy na bado chaange inabaki nyingi sana.

Iwe familia ya watu 9.

Sehemu kuzuri kwake ni Masaki.
Kwa Shilingi za Kitanzania Elfu Mia Moja Themanini (180,000/-)..?!
 
Kwa Tanzania hii ni pesa ndogo. Kwa sasa 1kg of rice ni kama TZS 3000, sykari 3000.
Rent ya chumba kimoja chenye stima na maji sio less than tzs 50,000
 
1,000 x 100 =100,000
🤣🤣🤣 Dar mshahara wa laki ataishi nao vipiiiii🤣
 
Back
Top Bottom