GIUSEPPE
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 5,239
- 6,225
Naomba nitoe ushauri wa kipumbavu, mwambie huyo rafiki yako ajaribu ku tigo wife tuone kama itakuwaje, kunajamaa aliwahi wekewa tego alipogonga mke wa mtu, kuanzia hapo kitu kikiona papachu tu mnara unashuka kama jamaa yakovile, lakini akiwa mwenyewe mnara mia, sasa akashauriwa asihangaike na papachu yeye akiingia kwenye gemu mawazo yawe kwenye tigo tu, wakashauriana na mwenziwake, kweli akifika kwenye mechi shunghuli inakuwa huko na ngoma inachezwa kama kawa. Kama ni suala la kimedical hata huko haitasimama lakini kama ni swala la kimila ndo inakuwa hivyo wanaendelea wakati wakitafuta ufumbuzi wa tatizo.
Huu Ni ushauri wangu wa kipumbavu kabisa kwa siku ya leo. Aksanteni kwa kunisikiliza, oooopsss asanteni kwa kusoma.
Huu Ni ushauri wangu wa kipumbavu kabisa kwa siku ya leo. Aksanteni kwa kunisikiliza, oooopsss asanteni kwa kusoma.