Rafiki yangu ana tatizo sugu la uume kusinyaa

Rafiki yangu ana tatizo sugu la uume kusinyaa

Naomba nitoe ushauri wa kipumbavu, mwambie huyo rafiki yako ajaribu ku tigo wife tuone kama itakuwaje, kunajamaa aliwahi wekewa tego alipogonga mke wa mtu, kuanzia hapo kitu kikiona papachu tu mnara unashuka kama jamaa yakovile, lakini akiwa mwenyewe mnara mia, sasa akashauriwa asihangaike na papachu yeye akiingia kwenye gemu mawazo yawe kwenye tigo tu, wakashauriana na mwenziwake, kweli akifika kwenye mechi shunghuli inakuwa huko na ngoma inachezwa kama kawa. Kama ni suala la kimedical hata huko haitasimama lakini kama ni swala la kimila ndo inakuwa hivyo wanaendelea wakati wakitafuta ufumbuzi wa tatizo.
Huu Ni ushauri wangu wa kipumbavu kabisa kwa siku ya leo. Aksanteni kwa kunisikiliza, oooopsss asanteni kwa kusoma.
 
MUNGU Akunyine vyote vya duniani ila asikunyime dushe lenye miguvu.
espyBora Mungu akunyime dume lenye ela akupe lenye nguvu za kunanii asee.nime-REFER kwenye ile thread ya "stunter" kuhusu wanawake wapenda ela.Anyways na wewe si unapenda ela kuliko mwenye nguvu!.
 
Kuna Mwanamke anampenda na alimchomolea kamfanyia figisu!
Hiyo ni kawaida kutokea, ilishamtokea rafiki yangu wa karibu
Mwambie aende Tanga
 
Kuna Mwanamke anampenda na alimchomolea kamfanyia figisu!
Hiyo ni kawaida kutokea, ilishamtokea rafiki yangu wa karibu
Mwambie aende Tanga
Kwa maana ya kwamba aende Tanga kwa mganga au!!! Na huyo rafiki Yako, ishu yake iko kama hivi exactly. Jaribu kusaidia basi
 
kama anatabia ya michepuko wamemchezea huko au punyeto au hali vizur au anakisukari
Yaani best, mi I hope awe anasimamisha na awe anachomeka mwenyewe, dushe ione njia yenyewe na iweze kuingia bila yeye au mtendewa kuishika. Sasa kisukari kinasababisha ushikiliwe then unasaidiwa kuingiziwa?!
 
Yaani best, mi I hope awe anasimamisha na awe anachomeka mwenyewe, kitu kione njia kiingie chenyewe. Sasakisukari kinasababisha ushikiliwe then unasaidiwa kuingizwa?!
basi kachepuka wakamchezea ajichunguze yeye anajua ukweli wanawake sisi ni wabaya sana japo me siamini haya mambo ila naona watu wanalalamika nadhani yapo
 
Kama ana tabia ya kutembea na michepuko! kuna uwezekano ameshawahi kutembea na mwanamke ambaye ameshawekewa tego! na akiendelea na michepuko ipo siku atajichanganya kwa mke wa mtu aliyewekewa tego la maana, akiingiza, akitoa, anatoka imebadilika imekuwa papuchi kabisa.
Hata mie nimewaza hivyo hivyo mke wa ntu sumu
 
Wakuu JF,

Kwanza kabisa habarini za miaka, nilipotea kwa sababu za mihangaiko ya hapa na pale. Nchi imegeuka na sasa ni kufanya kazi kwa bidii.

Lakini pamoja na yote haya, kuna rafiki yangu ana shida sugu ambayo inamfanyA ndoa yake iwe tete. Ni hivi, uume unasinyaa pale anapofikia kuuingiza kwenye uke, lakini kabla ya hapo huwa unasimama vizuri tu.

Hata akiwa anatembea, mara nyingi uume unasimama kweli kweli ikitokea. Ila akiwa faragha na mke wake akikiss, akimchezea na mpaka akiwa anamvua pichu, unasimama according tu yeye alivyonielezea, ila kitendo cha kutaka kuanza kuchomeka in, ndiyo ngoma inalala. Hivyo inabidi wakati wa kuuchomeka, mke wake anakuwa anaushikilia ili ajichomeke kwenye uke wake.

Inachukua muda kama hata masaa mawili, mpaka kuna wakati ndiyo unafanikiwa uume kuingia kwenye uke, then jamaa ndiyo anapiga Show, kama kawaida goli la kwanza ni dk 1 au 2 hivi. Baada ya hapo inabidi aanze tena, mambo yale yale, ikafika wakati ikabidi atafute michepuko mingine, hali ikawa ni hivyo hivyo the same.

Yaani nahuzunika kwamba jamaa ishu yake haiwezi ku penetrate mpaka ashikiwe na anayemfanya then ndiyo inaingia tena kwa tabu. Kula anakula vizuri, anafanya mazoezi safi, anapokuwa kwenye tendo mawazo yake yapo pale. Leo nimeona nitumie fursa kuwauliza, je tatizo ni nini? Ni seriously issue mpaka namuonea huruma.

Otherwise tuendelee kujenga nchi kwa uzalendo.
Hili tatizo sio la ndugu yako bali ni lako mwenyewe.Alikuletea hili tatizo wewe ukiwa kama mganga wa hospitali au mganga wa kienyeji? Pamoja na hayo tatizo kama hilo linaweza kutatuliwa hospitalini na wataalamu husika.Kwa hiyo nenda hospitalini haraka uokolewe.
 
Hili tatizo sio la ndugu yako bali ni lako mwenyewe.Alikuletea hili tatizo wewe ukiwa kama mganga wa hospitali au mganga wa kienyeji? Pamoja na hayo tatizo kama hilo linaweza kutatuliwa hospitalini na wataalamu husika.Kwa hiyo nenda hospitalini haraka uokolewe.
Nitamwambia mkuu, ila aliwahi kwenda hospitali, daktari akamcheka, akamwambia aondoe mawazo, aelekeze akili yake pale. Ikaishia hivyo.
 
Hili tatizo sio la ndugu yako bali ni lako mwenyewe.Alikuletea hili tatizo wewe ukiwa kama mganga wa hospitali au mganga wa kienyeji? Pamoja na hayo tatizo kama hilo linaweza kutatuliwa hospitalini na wataalamu husika.Kwa hiyo nenda hospitalini haraka uokolewe.
mkuu pole sana kwa asilimia mia ili tatizo linakusibu wewe kimsingi punguza mawazo na ikiwezekana nenda sehemu tulivu hata hotelini au gesti nenda kapige mzigo huko.
 
sijaona post za hivi kitambo yani wiki mbili zimepita sasa na sio kitu cha kawaida but finally......boooooooom¿¿!#!??
acha uume usukume mkojo sio vitu vingine
 
Nitamwambia mkuu, ila aliwahi kwenda hospitali, daktari akamcheka, akamwambia aondoe mawazo, aelekeze akili yake pale. Ikaishia hivyo.
Sababu za kushindwa tendo la ndoa zimegawanyika katika makundi mawili,kundi la kwanza ni sababu za kisaikolojia(psychological factor) kama hofu,mashaka,wasiwasi,woga na uchovu.Baadae hivi navyo huzaa mkandamizo wa mawazo(stress).Kundi la pili ni sababu za ki magonjwa(pathological)kama chronic diseases e.g. sexually transmitted diseases,chronic anaemia etc,hormonal imbalance,kisukari,matumizi ya dawa za preasure,alcohol intoxication na matumizi ya dawa za kulevya kama bange,cocaine nk.Sababu zingine ni mvuto kwenye uke wa mwanamke unapungua.Wanawake wengi wakizaa huchanika uke na wasiposhonwa uke hupanuka na kuwa mkubwa kama wa ng'ombe hivyo mwanaume akimwingilia uume umepwaya sana na haubani na kwa jinsi hiyo ladha ya kufanya tendo la ndoa hutoweka na uume husinyaa.Sababu nyingine ni kuwa na michepuko kibao,nguvu zinaishia nje kwenye michepuko na unapokwenda kwa mke ambae nae anahitaji unashindwa kumtimizia.Ufumbuzi wa tatizo la kushindwa kufanya tendo la ndoa ni hospitalini tu,kama ulienda kwa daktari akashindwa kukusaidia unapaswa kwenda kwa mwingine mwenye uwezo.Madaktari wako wa ngazi nyingi na uwezo unaopishana sana.
 
Back
Top Bottom