Rafiki yangu ana tatizo sugu la uume kusinyaa

Ila kadi umerudisha mkuu??
 
Kadi ya chaputa mkuu, maana kwa maelezo yako na ww ulikua mdau
Usiwaze kila mtu akishindwa kushiriki tendo basi amejihusisha na Punyeto zenu hizo.

MWILI wa binadamu ni kama gari kuna wakati unagoma "Waza sana punyeto utaishi kuamini kila mtu mwenye tatizo la tendo hilo basi ni mpiga punyeto
 
Usiwaze kila mtu akishindwa kushiriki tendo basi amejihusisha na Punyeto zenu hizo.

MWILI wa binadamu ni kama gari kuna wakati unagoma "Waza sana punyeto utaishi kuamini kila mtu mwenye tatizo la tendo hilo basi ni mpiga punyeto
Duuuuu basi sawa, kama ni kweli hujawahi kweli wewe ulikua mgonjwa sana
 
Duuuuu basi sawa, kama ni kweli hujawahi kweli wewe ulikua mgonjwa sana
Sio kila unapofeli kufanya mapenzi tatizo ni punyeto, soma sana kuhusu afya ya mwili sio kubeba maneno ya vijiweni.
 
ni psychologia tu mwambie anitafte nimwelekeze jinsi kitunguu saumu na vitu vingine vinavyoweza kumsaidia 0621068486 anitext kwanza
 
Poleni sana,hapo tatizo wenda linasababishwa na mambo yafuatayo(1)afya (2)imani za kishirikina kama vile kulogwa,jini mahaba nk. Cha kufanya aende hospitali ili kama tatizo linasababishwa na afya aweze kupata matibabu na kuhusu ushirikina ningeshauri atume njia ya kuweza kutatua hili tatizo kwa kumuomba MUNGU na pia kushirikisha viongozi wa dini katika imani yake.natumaini akifanya haya atapata jawabu
 
Huyo Rafiki yako ni Mwanamke au Mwanaume?!
 
Best siyo mimi. Lakini ni seriously issue na jamaa anachofanikiwa kwa mke wake ni kumkuna kwa vidole ndiyo mke anaporidhikia kwa kukojoa. Kwa maana hiyo skills zake anazotumia ziko fresh. Ila shughuli ni kuingiza pale, inasinyaa.
Endelea kutumia kidole kumkuna mkeo kijana wakati ukitafuta tiba!

Kimsingi, mwenye matatizo haya ni wewe na wala sio rafiki yako!

Nenda duka la dawa za asili, nunua habatsoda ya unga robo kilo, hulinjani robo kilo, na asali mbichi Lita moja.

Chukua vijiko viwili vya asali mbichi, habatsoda kijiko kimoja cha Chai, hulinjani kijiko kimoja cha Chai changanya vitu hivyo kwenye glass moja ya maziwa fresh ya moto, kunywa asubuhi na jioni mwez mmoja hadi miwili.

Kwa uwezo wa Mungu, tatizo lako la upungufu wa nguvu za kiume litaisha!!

Wewe ni kwamba una upungufu wa nguvu za kiume!!!
 
Hili tatizo ni la kwako au la rafiki yako???

maana sipati picha mlikuwa mnazungumza nini mpaka akusimulie yote haya...
 
Hahahaa nacheka utadhan mazuri(kufunga kitambaa ni kituko sana) ana tatizo la hospital aende akachekiwe na wataalam
We cheka tu. Na wewe yatakutokea... shauri zako.
 
Duuh!! Ulioga njiani kwa sababu gani sasa au mganga ndo kakwambia uoge njiani ili tatizo liishe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…