Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kadi umerudisha mkuu??Mimi nilichukua sana muda kuingia kwenye mahusiano ila nilipokuja kujaribu nilizungushwa sana na mwanamke mmoja hivi ila baada ya kukubali siku hyo nikiwa kwake alinipa mzigo na mashine ilikuwa sawa kabisa (imesimama kwa kiwango chake).
Baada ya kuanza kuvuana hadi akabaki uchi nashangaa uume ukalala na nikashindwa kusimamisha tena,nikaondoka na nikaomba tena kwa mwingne hali ikawa vile vile nikashindwa (wakati huo nilikuwa simjui mwanamke).
Nikamfata yule wa kwanza baadae ila ikagoma tena nilifanya mengi sana aisee hadi nikajikuta naoga njiani kisa imani za kishirikina ila nilikuja kudharau yote nikakaa nikatulia nikatafuta mwanamke nikamwelezea tatizo langu na akanielewa alinipa ushirikiano hadi nikafanikiwa.
Nashukuru sasa nina mtoto mmoja na ninapiga kazi hata masaa 24.
Sema nimeliongea juu juu kama nitapata muda nitakuja andika vzr.
Kadi ???Ila kadi umerudisha mkuu??
Kadi ya chaputa mkuu, maana kwa maelezo yako na ww ulikua mdauKadi ???
Usiwaze kila mtu akishindwa kushiriki tendo basi amejihusisha na Punyeto zenu hizo.Kadi ya chaputa mkuu, maana kwa maelezo yako na ww ulikua mdau
Duuuuu basi sawa, kama ni kweli hujawahi kweli wewe ulikua mgonjwa sanaUsiwaze kila mtu akishindwa kushiriki tendo basi amejihusisha na Punyeto zenu hizo.
MWILI wa binadamu ni kama gari kuna wakati unagoma "Waza sana punyeto utaishi kuamini kila mtu mwenye tatizo la tendo hilo basi ni mpiga punyeto
Sio kila unapofeli kufanya mapenzi tatizo ni punyeto, soma sana kuhusu afya ya mwili sio kubeba maneno ya vijiweni.Duuuuu basi sawa, kama ni kweli hujawahi kweli wewe ulikua mgonjwa sana
Endelea kutumia kidole kumkuna mkeo kijana wakati ukitafuta tiba!Best siyo mimi. Lakini ni seriously issue na jamaa anachofanikiwa kwa mke wake ni kumkuna kwa vidole ndiyo mke anaporidhikia kwa kukojoa. Kwa maana hiyo skills zake anazotumia ziko fresh. Ila shughuli ni kuingiza pale, inasinyaa.
Hili tatizo ni la kwako au la rafiki yako???Wakuu JF,
Kwanza kabisa habarini za miaka, nilipotea kwa sababu za mihangaiko ya hapa na pale. Nchi imegeuka na sasa ni kufanya kazi kwa bidii.
Lakini pamoja na yote haya, kuna rafiki yangu ana shida sugu ambayo inamfanyA ndoa yake iwe tete. Ni hivi, uume unasinyaa pale anapofikia kuuingiza kwenye uke, lakini kabla ya hapo huwa unasimama vizuri tu.
Hata akiwa anatembea, mara nyingi uume unasimama kweli kweli ikitokea. Ila akiwa faragha na mke wake akikiss, akimchezea na mpaka akiwa anamvua pichu, unasimama according tu yeye alivyonielezea, ila kitendo cha kutaka kuanza kuchomeka in, ndiyo ngoma inalala. Hivyo inabidi wakati wa kuuchomeka, mke wake anakuwa anaushikilia ili ajichomeke kwenye uke wake.
Inachukua muda kama hata masaa mawili, mpaka kuna wakati ndiyo unafanikiwa uume kuingia kwenye uke, then jamaa ndiyo anapiga Show, kama kawaida goli la kwanza ni dk 1 au 2 hivi. Baada ya hapo inabidi aanze tena, mambo yale yale, ikafika wakati ikabidi atafute michepuko mingine, hali ikawa ni hivyo hivyo the same.
Yaani nahuzunika kwamba jamaa ishu yake haiwezi ku penetrate mpaka ashikiwe na anayemfanya then ndiyo inaingia tena kwa tabu. Kula anakula vizuri, anafanya mazoezi safi, anapokuwa kwenye tendo mawazo yake yapo pale. Leo nimeona nitumie fursa kuwauliza, je tatizo ni nini? Ni seriously issue mpaka namuonea huruma.
Otherwise tuendelee kujenga nchi kwa uzalendo.
We cheka tu. Na wewe yatakutokea... shauri zako.Hahahaa nacheka utadhan mazuri(kufunga kitambaa ni kituko sana) ana tatizo la hospital aende akachekiwe na wataalam
Duuh!! Ulioga njiani kwa sababu gani sasa au mganga ndo kakwambia uoge njiani ili tatizo liishe?Mimi nilichukua sana muda kuingia kwenye mahusiano ila nilipokuja kujaribu nilizungushwa sana na mwanamke mmoja hivi ila baada ya kukubali siku hyo nikiwa kwake alinipa mzigo na mashine ilikuwa sawa kabisa (imesimama kwa kiwango chake).
Baada ya kuanza kuvuana hadi akabaki uchi nashangaa uume ukalala na nikashindwa kusimamisha tena,nikaondoka na nikaomba tena kwa mwingne hali ikawa vile vile nikashindwa (wakati huo nilikuwa simjui mwanamke).
Nikamfata yule wa kwanza baadae ila ikagoma tena nilifanya mengi sana aisee hadi nikajikuta naoga njiani kisa imani za kishirikina ila nilikuja kudharau yote nikakaa nikatulia nikatafuta mwanamke nikamwelezea tatizo langu na akanielewa alinipa ushirikiano hadi nikafanikiwa.
Nashukuru sasa nina mtoto mmoja na ninapiga kazi hata masaa 24.
Sema nimeliongea juu juu kama nitapata muda nitakuja andika vzr.
Mkuu ukiwa na shauku ya kitu unaweza hata kuua ili ukipateDuuh!! Ulioga njiani kwa sababu gani sasa au mganga ndo kakwambia uoge njiani ili tatizo liishe?
mwanamke uuume unasinyaa? kabla hujauliza swal soma post kwanzaHuyo Rafiki yako ni Mwanamke au Mwanaume?!
Kwa hiyo mganga alisema umerogwa auMkuu ukiwa na shauku ya kitu unaweza hata kuua ili ukipate
[emoji2] [emoji2] [emoji2] eti mizimu haitaki nifanye MapenziKwa hiyo mganga alisema umerogwa au
Doooh!!! Ila ulivyooga njiani mizimu ikakuacha uanze kuhondomola [emoji1] ukapona kabisa!![emoji2] [emoji2] [emoji2] eti mizimu haitaki nifanye Mapenzi