Rafiki yangu ana tatizo sugu la uume kusinyaa

Mkuu kuwa muwazi, huyo jamaa ni wewe lakini hapa unasema ni rafiki yako
 
Ananusa harufu kwani yeye ni beberu?
 
Kamanda mawazo utapata lakin badala yavidole vya mshikaji kwanini wwe usisaidie kama hinafika wakati anatoa siri nyeti kwako kama hiyo???
 


Unaishi wapi wewe? Dah umenikuna sana kwa jibu lako....unapenda mishikaki/nyama choma weye? Tuwasiliane nikupe offer.
 


Pole sana zinc kwa uume wako kusinyaa kihivyo....jaribu kwenda kwa wamasai wakusaidie na miti shamba yao.
 
Kama mnasema bora mwanaume mwenye nguvu kuliko pesa basi wana darisalama mwafa,maana huko ni chips tu,ndio maana wake zenu wakija semina dodoma ama bungeni mnagongewa sana na maskini wa huku
 
Kwa mfano ungesema tu ukweli kwamba mwenye hilo tatizo ni wewe mwenyewe usingejibiwa.?[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji87] [emoji87] [emoji30] [emoji30] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Heterosexual is the only normal sexual activity encountered amongst a man and a woman.Exercising other sexual activity is regarded as abnormal sexual devision.So penetration of penis into the vagina gives a full satisfactory to both couples.
Eh we nae unatuchanganyia mada hapa,kwan kasema homosexuality hapo??
English yenyewe ss
 
ni psychologia tu mwambie anitafte nimwelekeze jinsi kitunguu saumu na vitu vingine vinavyoweza kumsaidia 0621068486 anitext kwanza
Mhh mkuu tuwekee wote hapa,mana wahanga ni wengi
 
Kwa mfano ungesema tu ukweli kwamba mwenye hilo tatizo ni wewe mwenyewe usingejibiwa.?[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji87] [emoji87] [emoji30] [emoji30] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mkuu mimi ni mkongwe hapa, na ninafahamika vema kabisa na wadau. Jambo hili ni shida ya rafiki yangu, nilijaribu kumsaidia kwa nafasi yangu lakini nikaona shida iko pale pale. Ndiyo nimeamua nishee na nyie na ushauri ninaopata hapa ni mzuri, nitamwambia baadhi ya mambo aanze kuyafanyia kazi haraka.
 
Yaani best, mi I hope awe anasimamisha na awe anachomeka mwenyewe, dushe ione njia yenyewe na iweze kuingia bila yeye au mtendewa kuishika. Sasa kisukari kinasababisha ushikiliwe then unasaidiwa kuingiziwa?!
Hebu njoo Pm fasta kuna babu yangu sehemu huwa anatibu hayo matatizo,
Ila andaa kiroba cha mchele 50 kg
Na mbuzi mkubwa mweusi kwa ajili ya mizimu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hebu njoo Pm fasta kuna babu yangu sehemu huwa anatibu hayo matatizo,
Ila andaa kiroba cha mchele 50 kg
Na mbuzi mkubwa mweusi kwa ajili ya mizimu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha utani ww
 
Hiyo ni issue ya kisaikolojia onana wataalamu wakushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…