Rafiki yangu ana tatizo sugu la uume kusinyaa

Dah! huwa nawahurumia sana marafiki wa wanajf, kila tatizo wao wanasingiziwa tu! Kwa maelezo mazuri uliyoyatoa hapa, mhusika ni wewe mwenyewe na kama ni rafiki yako basi huwa unamkula chabo.
Anyway, nenda hospital bro huenda ikawa ni hernia.
 
Hilo litakuwa jini mahaba ndio kazi yake chakumsaidia awasliane namimi kwa namba 0757056236 nitamsaidia natatizo lake litakwisha kwa uwezo wa mungu
 
Itakuwa ni jini mahaba na lipo upande wa mke wake.....haya majini yanatesa sana watu.
 
Nashauri utumie mda mwingi kwenye foreplay ili ku-ensure sufficient supply ya damu kwenye penis hii itasaidia kupenetrate kiurahis otherwise jaribu kuonana na urologist
 
Hilo tatizo lilinipata wakati naanza mahusiano aiseee utaaibika sana kama mwanamke ni mara ya kwanza kukutana nae.

Ila nilitulia na nilipiga kazi vizuri hadi sasa.

Aibu sana hiii usiombe ikukute
Uliwezaje kukwepa hii dhahma
 
Wewe si ujiseme tu, sasa unazugia kwa jamaa wakati tatzo ni lako! Ingekuwa la kwake angeleta uzi hapa mwenyewe! , Matatzo ya wengi hayo hupaswi kuzugia !
 
Nitamwambia mkuu, ila aliwahi kwenda hospitali, daktari akamcheka, akamwambia aondoe mawazo, aelekeze akili yake pale. Ikaishia hivyo.
ww hili tatizo ni lako haiwezekan ukawa na details kias hicho..
 
Ushauri wangu mwambie azame chumvini(ALAMBE CHUMVIN) kama lengo ni kumridhisha mwanamke wake na ndoa itakuwa imara mno! Na kama atahitaji kuzaa then atumie artifiacial insemination !
 
mi nadhani rafiki yako ana jini mahaba tena huyo jini kamkubali sana jamaa yako na hataki apge show na mwanamke so cha msingi tafuta mganga mwaminifu ambaye anatumia kitabu anaweza kukusaidia pia nakuomba usitumie dawa za kuongeza nguvu.
 
Mkuu nataka niamini niwewe mwwnye shida ila unatumia identity ionekane ni jamaako. Niko na groups nyingi za natural therapies lakini kila siku post ni za dizaini yako had najiuliza humu sisi wote ni ndg zetu au marafiki ndo huumwa sisi hatuumwi?
Anyway uko na shida ya kisaikolojia na fear of the unknown. Puchu pia imekuharibu. Naweza nikasaidia msaada kwa kuanzia bure, (me sio mganga). Hiyo kitu ukienda hosp wanaenda kumalizia afu icho kitumbua itakua ndo basi
 
Hahahaa ulioga njiani, duuu mkuu ulifika mbali mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…