Rafiki yangu ana tatizo sugu la uume kusinyaa

Tatizo hili ni matokeo y'a mambo mengi lkn ni yale yanayothiri ubongo.
Wengi yamewaathiri lkn sasa tunachokosea ni kutaka Tiba ya haraka kitu ambacho hakipo.Ni lazima uchukue muda kulitatua n'a huwa linakwisha
 
Tatizo hili ni matokeo y'a mambo mengi lkn ni yale yanayothiri ubongo.
Wengi yamewaathiri lkn sasa tunachokosea ni kutaka Tiba ya haraka kitu ambacho hakipo.Ni lazima uchukue muda kulitatua n'a huwa linakwisha
Hospitalini au kwa waganga ?
 
Mkuu pole kwa tatizo linalokukuta,lakn hongera kwa kutumia njia nzuri kufikisha mada yako.Fanya yafuatayo huwenda yakakusaidia.
1)tumia chai ya asali na mdalasini,usiweke sukari.tumia chai hiyo kila siku asubuh
2)mchana kula matunda yakutosha kabla ya chakula cha mchana na
3)usiku kula tangawizi au juisi ya tangawizi kisha ulale.
 
Kubali kwanza, huyo jamaa ni wewe
 
Shida y'a nguvu za kiume ni akili tu.
Akili ikizungukwa n'a jambo (hofu) tendo la ndoa halina nafasi.
 
Inapendekezwa kulala masaa mangapi?
Na vipi kuhusu asali?Inasaidia
 
Mkuu asante saana kwa jibu zuri
 
Shida y'a nguvu za kiume ni akili tu.
Akili ikizungukwa n'a jambo (hofu) tendo la ndoa halina nafasi.
Sio kweli hta kidg ....akili inazongwa na hofu baada ya tatzo ndan ya mwili kudhihirika na kumuathir mtu .....anaesema anaeeza pona kwakupewa cancelling hajui asemalo ...mtu ameathirika na punyeto misul imelegea ..hana uwezo wa kurudia tendo ana maliza haraka ...according to u ..akili yake ikiwa sawa misul itakaza.....mbegu zilizoathirika ztarud ....mzunguko wa damu utaenda ipasavyo ??????,.....huo n Ugonjwa ka mwingne huwez tibiwa kienyej hivo
 
Mawazo tu, atafute demu mwingine, labda huyo wa sasa hamchenguwi...
hakuna uchawi wala ushenzi gani sijuwi, mawazo tu...
 
Mhhhhhhh
 
Tatizo hili pia niliwahi kuwa nalo lakini gafra likatoweka tu sijui ilikuwaje likatoweka..lakini kuna kitu kilifanyika mkuu nikwa fresh mpaka sasa mashine zaid ya punda yani..dakika 45 mpaka 50 nipo juu ya ngozi lakini kwa ile ambayo ninaikubali sna..
 
Pole sana kwa hilo, nisingesikia michepuko maana hyo ndo yenye shida zote hizo, hii ni Spiritual Case, ambayo inahitaji Spiritual healing, kuna bad spirits umetupiwa, either na hao unaofanya nao huo uchafu au ndugu, marafiki nk...shetan yupo kazin....Bila kutubu dhambi na kukaa ndani ya mapenzi ya Mungu, utaendelea kuteswa, Amini hivyo, Nguvu za gizs zipo kwako.
 
Mku Mkuu ulifanya nn ?
 
Kama Hujaeleweka unauliza, s'il kila kitu ni cha kubisha.Ni kwa nini unamtukana mtu ambaye wala humjui.Ni nani aliyekuambia suala la kujisaidia kinyume na Utaratibu sio zao la akili
 
Hisia unazipata wapi ? n'a nini kilisababisha ukafanya ??. Nini kilianza, kufikiri n'a kufanya kwa muda mrefu au ulifanya kwa muda mrefu ndio hisia zikaja
 
..
Kutokana na uliyoyasema naona yafuatayo:
1. Kama anadisa, kifiziolojia yuko sawa
2. Lakini, kisaikolojia atakuwa na tatizo. Kwa mfano, huenda ana tatizo la kiuchumi, saya mke ana kipato kuliko yeye, au mke ana masculine behaviour, au kitu kama hicho...

Hivyo, amtafute psychiatrist, atapona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…