Rafiki yangu ana tatizo sugu la uume kusinyaa

Tatizo hili ni matokeo y'a mambo mengi lkn ni yale yanayothiri ubongo.
Wengi yamewaathiri lkn sasa tunachokosea ni kutaka Tiba ya haraka kitu ambacho hakipo.Ni lazima uchukue muda kulitatua n'a huwa linakwisha
 
Hospitalini au kwa waganga ?
 
Wakuu JF,

Kwanza kabisa habarini za miaka, nilipotea kwa sababu za mihangaiko ya hapa na pale. Nchi imegeuka na sasa ni kufanya kazi kwa bidii.

Lakini pamoja na yote haya, kuna rafiki yangu ana shida sugu ambayo inamfanyA ndoa yake iwe tete. Ni hivi, uume unasinyaa pale anapofikia kuuingiza kwenye uke, lakini kabla ya hapo huwa unasimama vizuri tu.

Hata akiwa anatembea, mara nyingi uume unasimama kweli kweli ikitokea. Ila akiwa faragha na mke wake akikiss, akimchezea na mpaka akiwa anamvua pichu, unasimama according tu yeye alivyonielezea, ila kitendo cha kutaka kuanza kuchomeka in, ndiyo ngoma inalala. Hivyo inabidi wakati wa kuuchomeka, mke wake anakuwa anaushikilia ili ajichomeke kwenye uke wake.

Inachukua muda kama hata masaa mawili, mpaka kuna wakati ndiyo unafanikiwa uume kuingia kwenye uke, then jamaa ndiyo anapiga Show, kama kawaida goli la kwanza ni dk 1 au 2 hivi. Baada ya hapo inabidi aanze tena, mambo yale yale, ikafika wakati ikabidi atafute michepuko mingine, hali ikawa ni hivyo hivyo the same.

Yaani nahuzunika kwamba jamaa ishu yake haiwezi ku penetrate mpaka ashikiwe na anayemfanya then ndiyo inaingia tena kwa tabu. Kula anakula vizuri, anafanya mazoezi safi, anapokuwa kwenye tendo mawazo yake yapo pale. Leo nimeona nitumie fursa kuwauliza, je tatizo ni nini? Ni seriously issue mpaka namuonea huruma.

Otherwise tuendelee kujenga nchi kwa uzalendo.
Mkuu pole kwa tatizo linalokukuta,lakn hongera kwa kutumia njia nzuri kufikisha mada yako.Fanya yafuatayo huwenda yakakusaidia.
1)tumia chai ya asali na mdalasini,usiweke sukari.tumia chai hiyo kila siku asubuh
2)mchana kula matunda yakutosha kabla ya chakula cha mchana na
3)usiku kula tangawizi au juisi ya tangawizi kisha ulale.
 
Kubali kwanza, huyo jamaa ni wewe
 
Shida y'a nguvu za kiume ni akili tu.
Akili ikizungukwa n'a jambo (hofu) tendo la ndoa halina nafasi.
 
Mkuu pole kwa tatizo linalokukuta,lakn hongera kwa kutumia njia nzuri kufikisha mada yako.Fanya yafuatayo huwenda yakakusaidia.
1)tumia chai ya asali na mdalasini,usiweke sukari.tumia chai hiyo kila siku asubuh
2)mchana kula matunda yakutosha kabla ya chakula cha mchana na
3)usiku kula tangawizi au juisi ya tangawizi kisha ulale.
Inapendekezwa kulala masaa mangapi?
Na vipi kuhusu asali?Inasaidia
 
Mkuu pole kwa tatizo linalokukuta,lakn hongera kwa kutumia njia nzuri kufikisha mada yako.Fanya yafuatayo huwenda yakakusaidia.
1)tumia chai ya asali na mdalasini,usiweke sukari.tumia chai hiyo kila siku asubuh
2)mchana kula matunda yakutosha kabla ya chakula cha mchana na
3)usiku kula tangawizi au juisi ya tangawizi kisha ulale.
Mkuu asante saana kwa jibu zuri
 
Shida y'a nguvu za kiume ni akili tu.
Akili ikizungukwa n'a jambo (hofu) tendo la ndoa halina nafasi.
Sio kweli hta kidg ....akili inazongwa na hofu baada ya tatzo ndan ya mwili kudhihirika na kumuathir mtu .....anaesema anaeeza pona kwakupewa cancelling hajui asemalo ...mtu ameathirika na punyeto misul imelegea ..hana uwezo wa kurudia tendo ana maliza haraka ...according to u ..akili yake ikiwa sawa misul itakaza.....mbegu zilizoathirika ztarud ....mzunguko wa damu utaenda ipasavyo ??????,.....huo n Ugonjwa ka mwingne huwez tibiwa kienyej hivo
 
Mawazo tu, atafute demu mwingine, labda huyo wa sasa hamchenguwi...
hakuna uchawi wala ushenzi gani sijuwi, mawazo tu...
 
masaa mawili ndo kitu kinasimama? ina maana wakitaka morning glory kitu kinaanza kusimamishwa toka saa kumi na moja kije kukubali saa moja au inabidi saa tisa huko hadi saa kumi na moja sio? pole sana mkuu najua ni wewe mwenye tatizo .nendeni kwa daktari kuna mshipa haupo ok.ila na mkeo mpende sana kakusitiri sana maana navokuwaga na nyege mimi ningekupa talaka tu bora mume maskini kuliko asiesimamisha ndani.poleni sana
Mhhhhhhh
 
Tatizo hili pia niliwahi kuwa nalo lakini gafra likatoweka tu sijui ilikuwaje likatoweka..lakini kuna kitu kilifanyika mkuu nikwa fresh mpaka sasa mashine zaid ya punda yani..dakika 45 mpaka 50 nipo juu ya ngozi lakini kwa ile ambayo ninaikubali sna..
 
Pole sana kwa hilo, nisingesikia michepuko maana hyo ndo yenye shida zote hizo, hii ni Spiritual Case, ambayo inahitaji Spiritual healing, kuna bad spirits umetupiwa, either na hao unaofanya nao huo uchafu au ndugu, marafiki nk...shetan yupo kazin....Bila kutubu dhambi na kukaa ndani ya mapenzi ya Mungu, utaendelea kuteswa, Amini hivyo, Nguvu za gizs zipo kwako.
 
Mku
Tatizo hili pia niliwahi kuwa nalo lakini gafra likatoweka tu sijui ilikuwaje likatoweka..lakini kuna kitu kilifanyika mkuu nikwa fresh mpaka sasa mashine zaid ya punda yani..dakika 45 mpaka 50 nipo juu ya ngozi lakini kwa ile ambayo ninaikubali sna..
Mkuu ulifanya nn ?
 
Sio kweli hta kidg ....akili inazongwa na hofu baada ya tatzo ndan ya mwili kudhihirika na kumuathir mtu .....anaesema anaeeza pona kwakupewa cancelling hajui asemalo ...mtu ameathirika na punyeto misul imelegea ..hana uwezo wa kurudia tendo ana maliza haraka ...according to u ..akili yake ikiwa sawa misul itakaza.....mbegu zilizoathirika ztarud ....mzunguko wa damu utaenda ipasavyo ??????,.....huo n Ugonjwa ka mwingne huwez tibiwa kienyej hivo
Kama Hujaeleweka unauliza, s'il kila kitu ni cha kubisha.Ni kwa nini unamtukana mtu ambaye wala humjui.Ni nani aliyekuambia suala la kujisaidia kinyume na Utaratibu sio zao la akili
 
Hisia unazipata wapi ? n'a nini kilisababisha ukafanya ??. Nini kilianza, kufikiri n'a kufanya kwa muda mrefu au ulifanya kwa muda mrefu ndio hisia zikaja
 
...kuna rafiki yangu ana shida sugu ambayo inamfanya ndoa yake iwe tete. ...uume unasinyaa pale anapofikia [hatua ya] kuuingiza kwenye uke, lakini kabla ya hapo huwa unasimama vizuri tu. Hata akiwa anatembea, mara nyingi uume unasimama kweli kweli ikitokea [akaijiwa na wazo]... [Na] akiwa faragha na mke wake aki-kiss, akimchezea na mpaka akiwa anamvua pichu, unasimama according tu yeye alivyonielezea. Ila kitendo cha kutaka kuanza kuchomeka [ukeni], ndiyo ngoma inalala. Hivyo inabidi wakati wa kuuchomeka, mke wake anakuwa anaushikilia ili ajichomeke kwenye uke wake. Inachukua muda ... mpaka kuna wakati ndiyo unafanikiwa uume kuingia kwenye uke, then jamaa ndiyo anapiga Show, kama kawaida. Goli la kwanza ni dk 1 au 2 hivi. Baada ya hapo inabidi aanze tena, mambo yale yale, ikafika wakati ikabidi atafute michepuko mingine, hali ikawa ni hivyo hivyo the same ... Kula anakula vizuri, anafanya mazoezi safi, anapokuwa kwenye tendo mawazo yake yapo pale. Leo nimeona nitumie fursa kuwauliza, je tatizo ni nini? Ni seriously issue mpaka namuonea huruma.
..
Kutokana na uliyoyasema naona yafuatayo:
1. Kama anadisa, kifiziolojia yuko sawa
2. Lakini, kisaikolojia atakuwa na tatizo. Kwa mfano, huenda ana tatizo la kiuchumi, saya mke ana kipato kuliko yeye, au mke ana masculine behaviour, au kitu kama hicho...

Hivyo, amtafute psychiatrist, atapona.
 
Back
Top Bottom