Rafiki yangu ana tatizo sugu la uume kusinyaa

Muulize vizuri kama ametembea na mke wa mtu mwenye Mali atakuwa amemtengeneza, kama hajawai kutembea na mke wa mtu basi nijini mahaba linamsumbua
 
Mkuu tatizo lako lilidumu kwamda gani mpaka likapotea?
 
Mkuu tatizo lako lilidumu kwamda gani mpaka likapotea?
Mkuu mimi nakumbuka tatizo hili lilinitoke nilipo kuwa form 4 nilipata fedhea kubwa sana..nikaja tena kwa mtu mwingine nikwa hivyo hivyo..nilipo kuja ku experiance kwenye mahusiano na dada flani ambaye nahsi ndiye aliniweka poa kwanza alikubaliana na har yangu nikawa ikilegea ndani utasikia imelegea tayal..so kwa ufupi naweza sema miaka kama 2 hv kasoro..dalili kubwa ilikuwa ni moyo kwenda mbio sana baadaye nikapata tiba pia ikasemekana nina kitu kinaitwa (chemba moyo) nikapata matibabu hayo..baada ya mda nikashangaa ngoma ikisimama mbaba msumali tena mda mrefu hatali..mpaka leo mkuu..
 
Mbona kama wewe arifu
 
Mh! Huyo jamaa kiboko, anafunga kitambaa wakati sisi wengine tukisikia harufu tuu bar za mnara zinaongezeka
 
Samahani nikuulize swali? HIV umetumia kipimo gani kujua uke Wa ng'ombe ni mkubwa? Je unawezaje kufananisha uke Wa binadamu na ng'ombe?
 
kwel mkuu umesaidia sana hapa, nitamshauri na hili pia.
 
Inawezekana
1.Mkewe ni mchafu
2.Hana upendo bali analazimisha kumpenda.
3.Hawaaminiani hususana masuala ya kiafya.

Nje ya hayo hapo[emoji115]
Atakuwa na matatizo mengine ya kisaikolojia ikiwemo yeye kutojiamini kwa mkewe,kitokuamini kama atamridhisha,kutoyakubali maumbile yake nk nk.

Akituliza akili hahitaji dawa hata kidogo
 
unajua nn! kwa nn mtu usiwe na uwezo wa kuingiza tu, yaan mpk uishike then uingize na kwa shida.
 
Best siyo mimi. Lakini ni seriously issue na jamaa anachofanikiwa kwa mke wake ni kumkuna kwa vidole ndiyo mke anaporidhikia kwa kukojoa. Kwa maana hiyo skills zake anazotumia ziko fresh. Ila shughuli ni kuingiza pale, inasinyaa.
Niwewe usikatae, aaalah.
 
Mi wangu mpaka huwa anaomba nimpizishe!! Ila ndo ivo sina hela vyuma vimekaza.Hapa duniani kila mtu na mazito yake
 
unajua nn! kwa nn mtu usiwe na uwezo wa kuingiza tu, yaan mpk uishike then uingize na kwa shida.
Fikiria jambo moja. Kweli nia inakusukuma kufanya tendo,inapofika saa ya kutimiza nia yako linaingia wazo la kuwa unakoingia si salama. Ni taarifa ipi kubwa ambayo itafanyiwa kazi na ubongo wako kwa kasi na kuchukua nafasi ya nyingine?(narudia tena....ni mfano tu)

Fikiria jingine. Ulikuwa na kiu sana kabla ya mechi,baada ya kufika uwanjani ukabaini kuwa timu unayocheza nayo siyo size yako. Hapo tarajia mawili:-
1.Kujituma sana ili kuonesha unaweza
2.Kushindwa kuperfom vizuri kwa kujua kwamba hata ucheze vipi bado uwezo wako utamezwa na ule wa timu pinzani. Hapa ombea matokeo yawe Chanya(No1).Hili ni tatizo hasa kwa wale wenye wasiwasi na maumbile yao au wanaoamini wenza wao wana hadhi kuliko wao.
 
Well said
 
Mkuu si useme tu wewe
 
i see the point, hil nalo ni tatizo, how to overcome it?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…