Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tatizo lako lilidumu kwamda gani mpaka likapotea?Tatizo hili pia niliwahi kuwa nalo lakini gafra likatoweka tu sijui ilikuwaje likatoweka..lakini kuna kitu kilifanyika mkuu nikwa fresh mpaka sasa mashine zaid ya punda yani..dakika 45 mpaka 50 nipo juu ya ngozi lakini kwa ile ambayo ninaikubali sna..
Mkuu mimi nakumbuka tatizo hili lilinitoke nilipo kuwa form 4 nilipata fedhea kubwa sana..nikaja tena kwa mtu mwingine nikwa hivyo hivyo..nilipo kuja ku experiance kwenye mahusiano na dada flani ambaye nahsi ndiye aliniweka poa kwanza alikubaliana na har yangu nikawa ikilegea ndani utasikia imelegea tayal..so kwa ufupi naweza sema miaka kama 2 hv kasoro..dalili kubwa ilikuwa ni moyo kwenda mbio sana baadaye nikapata tiba pia ikasemekana nina kitu kinaitwa (chemba moyo) nikapata matibabu hayo..baada ya mda nikashangaa ngoma ikisimama mbaba msumali tena mda mrefu hatali..mpaka leo mkuu..Mkuu tatizo lako lilidumu kwamda gani mpaka likapotea?
Mbona kama wewe arifuWakuu JF,
Kwanza kabisa habarini za miaka, nilipotea kwa sababu za mihangaiko ya hapa na pale. Nchi imegeuka na sasa ni kufanya kazi kwa bidii.
Lakini pamoja na yote haya, kuna rafiki yangu ana shida sugu ambayo inamfanyA ndoa yake iwe tete. Ni hivi, uume unasinyaa pale anapofikia kuuingiza kwenye uke, lakini kabla ya hapo huwa unasimama vizuri tu.
Hata akiwa anatembea, mara nyingi uume unasimama kweli kweli ikitokea. Ila akiwa faragha na mke wake akikiss, akimchezea na mpaka akiwa anamvua pichu, unasimama according tu yeye alivyonielezea, ila kitendo cha kutaka kuanza kuchomeka in, ndiyo ngoma inalala. Hivyo inabidi wakati wa kuuchomeka, mke wake anakuwa anaushikilia ili ajichomeke kwenye uke wake.
Inachukua muda kama hata masaa mawili, mpaka kuna wakati ndiyo unafanikiwa uume kuingia kwenye uke, then jamaa ndiyo anapiga Show, kama kawaida goli la kwanza ni dk 1 au 2 hivi. Baada ya hapo inabidi aanze tena, mambo yale yale, ikafika wakati ikabidi atafute michepuko mingine, hali ikawa ni hivyo hivyo the same.
Yaani nahuzunika kwamba jamaa ishu yake haiwezi ku penetrate mpaka ashikiwe na anayemfanya then ndiyo inaingia tena kwa tabu. Kula anakula vizuri, anafanya mazoezi safi, anapokuwa kwenye tendo mawazo yake yapo pale. Leo nimeona nitumie fursa kuwauliza, je tatizo ni nini? Ni seriously issue mpaka namuonea huruma.
Otherwise tuendelee kujenga nchi kwa uzalendo.
Unajua hii post ni ya lini mkuu..??Mbona kama wewe arifu
Mh! Huyo jamaa kiboko, anafunga kitambaa wakati sisi wengine tukisikia harufu tuu bar za mnara zinaongezekaAliniambia aliwahi kuwa hivyo, kabla hajaoa. Akahisi ni maisha tu na stress zinamchenga. Sasa ana maisha mazuri, hali imejirudia. Kuna siku aliniambia alikuwa anafikiri pale akimvua pichu mwanamke, pengine kiharufu cha kawaida cha utelezi wa mwanamke unampa shida. Akawa anafunga kitambaa puani ili asiwe anahisi hiko ki harufu cha kawaida, lakini still shida ikawa iko pale pale.
Samahani nikuulize swali? HIV umetumia kipimo gani kujua uke Wa ng'ombe ni mkubwa? Je unawezaje kufananisha uke Wa binadamu na ng'ombe?Sababu za kushindwa tendo la ndoa zimegawanyika katika makundi mawili,kundi la kwanza ni sababu za kisaikolojia(psychological factor) kama hofu,mashaka,wasiwasi,woga na uchovu.Baadae hivi navyo huzaa mkandamizo wa mawazo(stress).Kundi la pili ni sababu za ki magonjwa(pathological)kama chronic diseases e.g. sexually transmitted diseases,chronic anaemia etc,hormonal imbalance,kisukari,matumizi ya dawa za preasure,alcohol intoxication na matumizi ya dawa za kulevya kama bange,cocaine nk.Sababu zingine ni mvuto kwenye uke wa mwanamke unapungua.Wanawake wengi wakizaa huchanika uke na wasiposhonwa uke hupanuka na kuwa mkubwa kama wa ng'ombe hivyo mwanaume akimwingilia uume umepwaya sana na haubani na kwa jinsi hiyo ladha ya kufanya tendo la ndoa hutoweka na uume husinyaa.Sababu nyingine ni kuwa na michepuko kibao,nguvu zinaishia nje kwenye michepuko na unapokwenda kwa mke ambae nae anahitaji unashindwa kumtimizia.Ufumbuzi wa tatizo la kushindwa kufanya tendo la ndoa ni hospitalini tu,kama ulienda kwa daktari akashindwa kukusaidia unapaswa kwenda kwa mwingine mwenye uwezo.Madaktari wako wa ngazi nyingi na uwezo unaopishana sana.
Bahati mbona kama kipovu kwa mbali hv..Samahani nikuulize swali? HIV umetumia kipimo gani kujua uke Wa ng'ombe ni mkubwa? Je unawezaje kufananisha uke Wa binadamu na ng'ombe?
kwel mkuu umesaidia sana hapa, nitamshauri na hili pia.Mkuu mimi nakumbuka tatizo hili lilinitoke nilipo kuwa form 4 nilipata fedhea kubwa sana..nikaja tena kwa mtu mwingine nikwa hivyo hivyo..nilipo kuja ku experiance kwenye mahusiano na dada flani ambaye nahsi ndiye aliniweka poa kwanza alikubaliana na har yangu nikawa ikilegea ndani utasikia imelegea tayal..so kwa ufupi naweza sema miaka kama 2 hv kasoro..dalili kubwa ilikuwa ni moyo kwenda mbio sana baadaye nikapata tiba pia ikasemekana nina kitu kinaitwa (chemba moyo) nikapata matibabu hayo..baada ya mda nikashangaa ngoma ikisimama mbaba msumali tena mda mrefu hatali..mpaka leo mkuu..
unajua nn! kwa nn mtu usiwe na uwezo wa kuingiza tu, yaan mpk uishike then uingize na kwa shida.Inawezekana
1.Mkewe ni mchafu
2.Hana upendo bali analazimisha kumpenda.
3.Hawaaminiani hususana masuala ya kiafya.
Nje ya hayo hapo[emoji115]
Atakuwa na matatizo mengine ya kisaikolojia ikiwemo yeye kutojiamini kwa mkewe,kitokuamini kama atamridhisha,kutoyakubali maumbile yake nk nk.
Akituliza akili hahitaji dawa hata kidogo
Niwewe usikatae, aaalah.Best siyo mimi. Lakini ni seriously issue na jamaa anachofanikiwa kwa mke wake ni kumkuna kwa vidole ndiyo mke anaporidhikia kwa kukojoa. Kwa maana hiyo skills zake anazotumia ziko fresh. Ila shughuli ni kuingiza pale, inasinyaa.
Fikiria jambo moja. Kweli nia inakusukuma kufanya tendo,inapofika saa ya kutimiza nia yako linaingia wazo la kuwa unakoingia si salama. Ni taarifa ipi kubwa ambayo itafanyiwa kazi na ubongo wako kwa kasi na kuchukua nafasi ya nyingine?(narudia tena....ni mfano tu)unajua nn! kwa nn mtu usiwe na uwezo wa kuingiza tu, yaan mpk uishike then uingize na kwa shida.
Well saidMoja kwa moja mtu mwenye tatizo hilo huwa anamambo yafuatayo;
1. Hali chakula akashiba vizuri au anakaa muda mrefu Tumbo likiwa tupu.
Kukaa na njaa kwa mwanaume ni kuua nguvu za kiume.
Hivyo wanaume wenzangu tusiache matumbo yetu yakae muda mrefu bila chakula.
Mtu ambaye hali vizuri huweza kukaa siku mbili mpaka nne asione **** yake ikisimama. Jambo ambalo si dalili nzuri kwa mwanaume rijali. Mwanaume rijali hupaswa kusimamisha kila siku asubuhi, au kila anapokula chakula vizuri akashiba basi **** hunyanyuka kwa muda kidogo kisha husinyaa.
2. Hafanya mazoezi.
Huyo ndugu yako au hata wanaume wasiofanya mazoezi na wasio Fanya kazi za nguvu zenye kutoa jasho huwa na matatizo hayo sugu. Mzunguko wa damu mwili huwa mdogo Sana. Watu hawa ndio huathiriwa na magonjwa ya kisukari kwani miili yao imekaa legelege.
Wanaume wanaofanya mazoezi na kula vizuri huweza kusimamisha kwa zaidi ya masaa mawili mpaka matatu.
Na hata wakipiga mabao yao **** huwa haisinyai moja kwa moja bali hulegea kidogo huku mishipa ikizidi kutuna.
3. Anapiga punyeto.
Lazima huyo ndugu yako anapiga punyeto na tayari yupo addicted.
Embu fikiria Kama Una umri wa miaka 20-28 unashindwa kumridhisha mwanamke kwa ujinga na kuendekeza mambo ya kijinga na mitindo mibaya ya maisha Kama kunywa pombe kupita kiasi, kupiga punyeto, kula vyakula visivyo na tija mwilini. Hivi ukifikisha miaka 40+ huko si utagongewa mpaka umpe ruhusa mkeo akaliwe na wenzako. Maana wewe mwenyewe umeshakiri huwezi kazi.
Muda wa kubembelezana umeisha. Mwambie jamaa abadilishe mitindo ya maisha vinginevyo akichelewa hatakuwa na wakumlaumu.
Ni bora mwanamke akusaliti kwa tamaa zake za pesa lakini sio kwasababu ulishindwa kumpa haki yake.
Mkuu si useme tu weweWakuu JF,
Kwanza kabisa habarini za miaka, nilipotea kwa sababu za mihangaiko ya hapa na pale. Nchi imegeuka na sasa ni kufanya kazi kwa bidii.
Lakini pamoja na yote haya, kuna rafiki yangu ana shida sugu ambayo inamfanyA ndoa yake iwe tete. Ni hivi, uume unasinyaa pale anapofikia kuuingiza kwenye uke, lakini kabla ya hapo huwa unasimama vizuri tu.
Hata akiwa anatembea, mara nyingi uume unasimama kweli kweli ikitokea. Ila akiwa faragha na mke wake akikiss, akimchezea na mpaka akiwa anamvua pichu, unasimama according tu yeye alivyonielezea, ila kitendo cha kutaka kuanza kuchomeka in, ndiyo ngoma inalala. Hivyo inabidi wakati wa kuuchomeka, mke wake anakuwa anaushikilia ili ajichomeke kwenye uke wake.
Inachukua muda kama hata masaa mawili, mpaka kuna wakati ndiyo unafanikiwa uume kuingia kwenye uke, then jamaa ndiyo anapiga Show, kama kawaida goli la kwanza ni dk 1 au 2 hivi. Baada ya hapo inabidi aanze tena, mambo yale yale, ikafika wakati ikabidi atafute michepuko mingine, hali ikawa ni hivyo hivyo the same.
Yaani nahuzunika kwamba jamaa ishu yake haiwezi ku penetrate mpaka ashikiwe na anayemfanya then ndiyo inaingia tena kwa tabu. Kula anakula vizuri, anafanya mazoezi safi, anapokuwa kwenye tendo mawazo yake yapo pale. Leo nimeona nitumie fursa kuwauliza, je tatizo ni nini? Ni seriously issue mpaka namuonea huruma.
Otherwise tuendelee kujenga nchi kwa uzalendo.
i see the point, hil nalo ni tatizo, how to overcome it?Fikiria jambo moja. Kweli nia inakusukuma kufanya tendo,inapofika saa ya kutimiza nia yako linaingia wazo la kuwa unakoingia si salama. Ni taarifa ipi kubwa ambayo itafanyiwa kazi na ubongo wako kwa kasi na kuchukua nafasi ya nyingine?(narudia tena....ni mfano tu)
Fikiria jingine. Ulikuwa na kiu sana kabla ya mechi,baada ya kufika uwanjani ukabaini kuwa timu unayocheza nayo siyo size yako. Hapo tarajia mawili:-
1.Kujituma sana ili kuonesha unaweza
2.Kushindwa kuperfom vizuri kwa kujua kwamba hata ucheze vipi bado uwezo wako utamezwa na ule wa timu pinzani. Hapa ombea matokeo yawe Chanya(No1).Hili ni tatizo hasa kwa wale wenye wasiwasi na maumbile yao au wanaoamini wenza wao wana hadhi kuliko wao.