Rafiki yangu anahitaji mume

Rafiki yangu anahitaji mume

Ester505

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2020
Posts
793
Reaction score
1,049
Rafiki yangu anahitaji mume.
SIFA ZA ANAYEMHITAJI;
Awe mkristo
Awe na Umri kuanzia miaka 43 na kuendelea.
Asiwe mlevi.
Awe na kazi kuajiriwa/ kujiajiri
Asiwe na zaidi ya watoto 2.
Mwenye uelewa.
Awe mkarimu.
Awe Mvumilivu
Awe na Nia ya DHATI&UHITAJI WA MKE( KUFUNGA NDOA)
SIFA ZA RAFIKI YANGU:
Amejiajiri
Ana mtoto mmoja
Muelewa
Mkristo
Mkarimu
Hatumii kilevi chochote zaidi ya mbege.
Ana umri wa miaka 41.
Karibu PM wewe mwenye vigezo.
Naomba upite kimyakimya ndio busara Kama huna neno la busara.
 
Kwani ukisema tu ni wewe shida iko wapi?🤣
 
Yuko mkoa gan, umri wke ni gan
 
Huyo rafiki yako ni wewe una miaka mingapi nijilipue
 
Rafiki yangu anahitaji mume.
SIFA ZA ANAYEMHITAJI;
Awe mkristo
Awe na Umri kuanzia miaka 43 na kuendelea.
Asiwe mlevi.
Awe na kazi kuajiriwa/ kujiajiri
Asiwe na zaidi ya watoto 2.
Mwenye uelewa.
Awe mkarimu.
Awe Mvumilivu
Awe na Nia ya DHATI&UHITAJI WA MKE( KUFUNGA NDOA)
SIFA ZA RAFIKI YANGU:
Amejiajiri
Ana mtoto mmoja
Muelewa
Mkristo
Mkarimu
Hatumii kilevi chochote zaidi ya mbege.
Ana umri wa miaka 41.
Karibu PM wewe mwenye vigezo.
Naomba upite kimyakimya ndio busara Kama huna neno la busara.
Sasa umri wote huo ukaoe mjane 😁
 
40 one ukipata mume asee mshukuru Mungu na tafadhali sana ukiingia kwenye hiyo safari tulia kama maji ya kwenye mtungi.

Yaani acha ujuaji, kibri, kujifanya wewe ninwewe kuliko mwenzako, yaani kwa ufupi uwe zaidi ya Eva na usiwe sawa na Lilith, yaani umemaliza vyote hapa Tanganyika, maana ni jioni hapo ulipo.
 
Rafiki yangu anahitaji mume.
SIFA ZA ANAYEMHITAJI;
Awe mkristo
Awe na Umri kuanzia miaka 43 na kuendelea.
Asiwe mlevi.
Awe na kazi kuajiriwa/ kujiajiri
Asiwe na zaidi ya watoto 2.
Mwenye uelewa.
Awe mkarimu.
Awe Mvumilivu
Awe na Nia ya DHATI&UHITAJI WA MKE( KUFUNGA NDOA)
SIFA ZA RAFIKI YANGU:
Amejiajiri
Ana mtoto mmoja
Muelewa
Mkristo
Mkarimu
Hatumii kilevi chochote zaidi ya mbege.
Ana umri wa miaka 41.
Karibu PM wewe mwenye vigezo.
Naomba upite kimyakimya ndio busara Kama huna neno la busara.

1. Sura yake ikoje?
2. Ana chura?
3. Sauti yake ni utelezi?
4. Mtoto wake ana umri gani?
5. Ana sali wapi?
 
Rafiki yangu anahitaji mume.
SIFA ZA ANAYEMHITAJI;
Awe mkristo
Awe na Umri kuanzia miaka 43 na kuendelea.
Asiwe mlevi.
Awe na kazi kuajiriwa/ kujiajiri
Asiwe na zaidi ya watoto 2.
Mwenye uelewa.
Awe mkarimu.
Awe Mvumilivu
Awe na Nia ya DHATI&UHITAJI WA MKE( KUFUNGA NDOA)
SIFA ZA RAFIKI YANGU:
Amejiajiri
Ana mtoto mmoja
Muelewa
Mkristo
Mkarimu
Hatumii kilevi chochote zaidi ya mbege.
Ana umri wa miaka 41.
Karibu PM wewe mwenye vigezo.
Naomba upite kimyakimya ndio busara Kama huna neno la busara.
Kwann Awe Mvumilivu.....?
Awe muelewa wa nn....?
Je wewe una Shape( Nyumba ni Choo)....?
 
Back
Top Bottom