Rafiki yangu anaomba ushauri

Rafiki yangu anaomba ushauri

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Anasema Kuna ka demu alikatongoza kakakubali

Sasa kakaa nako mwezi kaja kugundua kana bwana wake wa boda boda

Na hakakumuambia akikauliza kana leta Kona Kona wewe apo unaona Nini mdau mm nimeshindwa kumshauri
 
Anasema Kuna ka demu alikatongoza ka form 5 kakakubali

Sasa kakaa nako mwezi kaja kugundua kana bwana wake wa boda boda

Na hakakumuambia akikauliza kana leta Kona Kona wewe apo unaona Nini mdau mm nimeshindwa kumshauri

Tatizo lipi hapo!!!
Endelea ili amuache huyo.. Kama unataka ila mkapime si umemkuta sio bikra au???
 
Hebu muulize huyo rafiki yako kama hako katoto kangemwambia kana mpenzi wake afisa usafirishaji asingepiga? Au angepiga akasepa? Au angepiga alafu akamchomoa kwa ndugu afisa?!
 
Sema ni wewe mwenyewe.

Mdogo wangu ,usiwekeze akili na muda na nguvu kwa Wanawake.

Fanya mambo yako, usimzingatie, yaan mwanamke awe ni Kipaumbele namba 7 , 8, 9 , kakiwa kanakuja kukupa kitumbua, unakashindiliaa kanaondoka kanakuacha mwili mwepesi.
Hii yakufanyia lamination
 
Anasema Kuna ka demu alikatongoza ka form 5 kakakubali

Sasa kakaa nako mwezi kaja kugundua kana bwana wake wa boda boda

Na hakakumuambia akikauliza kana leta Kona Kona wewe apo unaona Nini mdau mm nimeshindwa kumshauri

Miaka 30 "segedansi" inakusubiri...
 
Back
Top Bottom