na wewe
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 231
- 398
Za mda huu hapo ulipo..
Iko hivi, Nina rafiki Yangu mmoja ambaye ukweli ni rafiki yangu na tunasaidiana sana.
Rafiki yangu amepitia maisha magumu sana na kuonekana kama hana thamani kwa hawa dadaz. Hiyo ni kwa sababu kila mwanamke aliyekuwa anataka kumchumbia au kuoa alikuwa anamtolea nje, mchungaji wetu amejitahidi sana kumkutanisha na dadaz wengi sana Wa pale kanisani lakini hakufanikiwa.ilifikia hatua hadi mchungaji akamwambia sasa jitafutie na ukipata Wa kukubali basi niambie na Mimi nitakutolea mahali na kukupa zawadi kubwa(sitaitaja igawa inajulikana)
Hivyo rafiki Yangu katika pitapita zake kuna dada akamuelewa hivyo taarifa zikafika kwa mchungaji na wakajitabulisha kiofisi na sio kanisani.. Sasa changamoto ikiwa binti ndio kamaliza form six na amechaguliwa chuo kwa level ya diploma.. Na mchumba kakomaa kuwa lazima akasome huku mambo mengine yakiendelea.
Katikati ya mahusiano jamaa alipata tuseme muujiza Wa kupata pesa za pamoja kama milioni mbili na sehem. Hivyo Mchugaji kwa haraka sana akamwambia kuwa, najua mchumba wako anaenda chuo na usipoangalia hii pesa uliyoipata itabidi nikubane ili ununue kitu cha kukuingizia kipato kabla ya chochote...mwisho akamwambia,tambua na uweke akilini kuwa mchumba hasomeshwi.
Kweli mchungaji akamsimamia jamaa akaanza mradi huo...
Cha ajabu kila wiki makusanyo yote ya wiki nzima mchumba anakuja kuchukua kirahisi kabisa weekend.na ikifika jumatatu jamaa ananiambia Jana Shemeji yako kaja na hapa sina hela kabisa maana kuna mahitaji nimempa ya chuo...
Jamaa ninavyofahamu ni dhaifu sana kwa wanawake maana nakumbuka alishawahi kuja kwangu kutaka kukopa pesa ili amnunulie mwanamke kitenge alichokita.kwa vile sikuwa na pesa ilibidi auze debe LA mahidi ya ndani ambayo alitumiwa na mzazi mwezie kwa ajili ya Mtoto(jamàa anaishi na mwanae)
Nawaza kwa peak aliyopo sasa kwa huyo mpz wake sio rahisi kumshauri kitu..lakini wakati huo huo principal inakataa kumsomesha mchumba hapo ndio nimebaki kuduwaa tu na kuomba Mungu ampe moyo mkuu hapo baadae
Maana sina uhakika kama mchumba ataweza kuhili kuishi na mtu ambaye ni darasa LA sana saba hali yeye ni diploma ya sayansi.ingawa yote yanawezekana