Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Nilijua tu atakuwa msukuma[emoji23][emoji23][emoji23]Tuko naye hapa JIJI Mwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijua tu atakuwa msukuma[emoji23][emoji23][emoji23]Tuko naye hapa JIJI Mwanza
Weka akiba ya maneno mkuu isije siku ukajisahau ukaleta thread unatafuta mpenzi au mke wa kuoa humu..tutakufukulia hili kaburi...Mahusiano hayana fomula..wengine tulio wasomesha ndio tumeoa na sahvi tunakula matunda ya ndoa na familia.
Chamsingi asiendekeze mapenzi airuhusu akili ifanye kazi yake...ili kujua yupo direction gani.
#MaendeleoHayanaChama.
Sio tu kukupandishia kodi, bali atakutimua ili ampangishie mtu mpya kwa bei kubwa zaidi🤣🤣🤣Daaah!!! labda kwa kuwa kaona ngekewa baada ya kukataliwa na wengi na wenda ikawa bahati yake.
Lakin ukwel ni kwamba hata siku moja
Huwez kwenda kupanga chumba kibovu kwa bei rahisi afu ukikarabati arafu utegemee mwenye nyumba aendeele kukutoza bei rahisi Lazima apandishe kodi.
Huyo mwanamke atakapo panda thaman ndio atakapo ona jamaa sio type yake hivyo ataanza nyodo. Nimala nying Sana hutokea kitu kama hiyo
By the way wew naymchungaji muwe mna mfanyia ibada rafiki yako walau kila week Mala moja ili asije jiua hapo baadae mambo yakienda ndivyo sivyo
Nchi gani haina mkoa au kwako ni nini maana ya mkoa? isijekuwa hata nawe unaishi mkoani tu ila hujui...teh [emoji16]Kitu kimoja nilichokuja kukigundua wanaume wengi kwenye mahusiano hua hawawezi kusema "hapana hicho siwezi nikakifanya maana sio jukumu langu hilo" cha pili wanaume wa mikoani hua ni washamba sana kwa wanawake..kuna jamaa mmoja wa mkoani huko nilipewa namba ya demu wake nilivyoanza kumchombeza manzi wake huyo jamaa alipaniki vibaya mno alikua anawatuma watu waje wanifatilie ooh mara tuonane nini na nini nikamuuliza mmoja wapo wa waliotumwa "je huko mikoani mademu ni adimu sana au?" Yule alietumwa tunawasiliana hadi leo bado nimebakiza kumla..wanaume wa mikoani ni dhaifu sana kwa wanawake
Za mda huu hapo ulipo..
Iko hivi, Nina rafiki Yangu mmoja ambaye ukweli ni rafiki yangu na tunasaidiana sana.
Rafiki yangu amepitia maisha magumu sana na kuonekana kama hana thamani kwa hawa dadaz. Hiyo ni kwa sababu kila mwanamke aliyekuwa anataka kumchumbia au kuoa alikuwa anamtolea nje, mchungaji wetu amejitahidi sana kumkutanisha na dadaz wengi sana Wa pale kanisani lakini hakufanikiwa.ilifikia hatua hadi mchungaji akamwambia sasa jitafutie na ukipata Wa kukubali basi niambie na Mimi nitakutolea mahali na kukupa zawadi kubwa(sitaitaja igawa inajulikana)
Hivyo rafiki Yangu katika pitapita zake kuna dada akamuelewa hivyo taarifa zikafika kwa mchungaji na wakajitabulisha kiofisi na sio kanisani.. Sasa changamoto ikiwa binti ndio kamaliza form six na amechaguliwa chuo kwa level ya diploma.. Na mchumba kakomaa kuwa lazima akasome huku mambo mengine yakiendelea.
Katikati ya mahusiano jamaa alipata tuseme muujiza Wa kupata pesa za pamoja kama milioni mbili na sehem. Hivyo Mchugaji kwa haraka sana akamwambia kuwa, najua mchumba wako anaenda chuo na usipoangalia hii pesa uliyoipata itabidi nikubane ili ununue kitu cha kukuingizia kipato kabla ya chochote...mwisho akamwambia,tambua na uweke akilini kuwa mchumba hasomeshwi.
Kweli mchungaji akamsimamia jamaa akaanza mradi huo...
Cha ajabu kila wiki makusanyo yote ya wiki nzima mchumba anakuja kuchukua kirahisi kabisa weekend.na ikifika jumatatu jamaa ananiambia Jana Shemeji yako kaja na hapa sina hela kabisa maana kuna mahitaji nimempa ya chuo...
Jamaa ninavyofahamu ni dhaifu sana kwa wanawake maana nakumbuka alishawahi kuja kwangu kutaka kukopa pesa ili amnunulie mwanamke kitenge alichokita.kwa vile sikuwa na pesa ilibidi auze debe LA mahidi ya ndani ambayo alitumiwa na mzazi mwezie kwa ajili ya Mtoto(jamàa anaishi na mwanae)
Nawaza kwa peak aliyopo sasa kwa huyo mpz wake sio rahisi kumshauri kitu..lakini wakati huo huo principal inakataa kumsomesha mchumba hapo ndio nimebaki kuduwaa tu na kuomba Mungu ampe moyo mkuu hapo baadae
Maana sina uhakika kama mchumba ataweza kuhili kuishi na mtu ambaye ni darasa LA sana saba hali yeye ni diploma ya sayansi.ingawa yote yanawezekana
Mbona unashughulika saaana na hayo mahusiano ya rafiki yako??? Si kaamua yeye unajuaje km ndo amefika mwisho wa kuangaika na mapenzi?Hadi sasa hata Mimi naona jamaa anapedwa tena anapedwa sana, na jamaa hakutaka hata kumla kabla ya ndoa ila dem ndio akamwambia lazima amle ili akili ikae sawa.
Tahadhari ni kuwa pale Shemeji Yangu akibadilisha gia angani sijui jamaa itakuwaje maana jamaa yangu ni kati ya watu ambao mahusiano yanawachukulia sana nafasi
Kitu kimoja nilichokuja kukigundua wanaume wengi kwenye mahusiano hua hawawezi kusema "hapana hicho siwezi nikakifanya maana sio jukumu langu hilo" cha pili wanaume wa mikoani hua ni washamba sana kwa wanawake..kuna jamaa mmoja wa mkoani huko nilipewa namba ya demu wake nilivyoanza kumchombeza manzi wake huyo jamaa alipaniki vibaya mno alikua anawatuma watu waje wanifatilie ooh mara tuonane nini na nini nikamuuliza mmoja wapo wa waliotumwa "je huko mikoani mademu ni adimu sana au?" Yule alietumwa tunawasiliana hadi leo bado nimebakiza kumla..wanaume wa mikoani ni dhaifu sana kwa wanawake
Hawaelewi nini tena
Kama unaishi Tanzania bila shaka utakua unajua wapi ni mkoani na mtu akisema watu wa mikoani yeye hua yupo wapi...Nchi gani haina mkoa au kwako ni nini maana ya mkoa? isijekuwa hata nawe unaishi mkoani tu ila hujui...teh [emoji16]
Cha ajabu kila wiki makusanyo yote ya wiki nzima mchumba anakuja kuchukua kirahisi kabisa weekend.na ikifika jumatatu jamaa ananiambia Jana Shemeji yako kaja na hapa sina hela kabisa maana kuna mahitaji nimempa ya chuo.