Rafiki yangu anasomesha mchumba wake,ingawa mchugaji alishamwambia "mchumba hasomeshwi"

Rafiki yangu anasomesha mchumba wake,ingawa mchugaji alishamwambia "mchumba hasomeshwi"

Mwambie jamaa yako anapoteza muda na pesa yake 100%. Wanawake ni viumbe wa ajabu sana. Ni rahisi sana mwanaume ambaye ana masters au PHD kumuoa mwanamke aliyemaliza darasa la 4 ila ni ngumu sana kwa mwanamke aliyemaliza mwenye degree au diploma kuolewa na mwanaume wa darasa la 7. Mwambie jamaa yako ajaribu kupita kwenye tundu la sindano. Akiweza basi ataweza kumuoa huyo mwanamke. Muokoe mshikaji anapoteza pesa zake
Darasa LA saba
 
Back
Top Bottom