Rafiki yangu anasomesha mchumba wake,ingawa mchugaji alishamwambia "mchumba hasomeshwi"

Mahusiano hayana fomula..wengine tulio wasomesha ndio tumeoa na sahvi tunakula matunda ya ndoa na familia.

Chamsingi asiendekeze mapenzi airuhusu akili ifanye kazi yake...ili kujua yupo direction gani.

#MaendeleoHayanaChama.
Weka akiba ya maneno mkuu isije siku ukajisahau ukaleta thread unatafuta mpenzi au mke wa kuoa humu..tutakufukulia hili kaburi...
 
Kitu kimoja nilichokuja kukigundua wanaume wengi kwenye mahusiano hua hawawezi kusema "hapana hicho siwezi nikakifanya maana sio jukumu langu hilo" cha pili wanaume wa mikoani hua ni washamba sana kwa wanawake..kuna jamaa mmoja wa mkoani huko nilipewa namba ya demu wake nilivyoanza kumchombeza manzi wake huyo jamaa alipaniki vibaya mno alikua anawatuma watu waje wanifatilie ooh mara tuonane nini na nini nikamuuliza mmoja wapo wa waliotumwa "je huko mikoani mademu ni adimu sana au?" Yule alietumwa tunawasiliana hadi leo bado nimebakiza kumla..wanaume wa mikoani ni dhaifu sana kwa wanawake
 
Daaah!!! labda kwa kuwa kaona ngekewa baada ya kukataliwa na wengi na wenda ikawa bahati yake.

Lakin ukwel ni kwamba hata siku moja
Huwez kwenda kupanga chumba kibovu kwa bei rahisi afu ukikarabati arafu utegemee mwenye nyumba aendeele kukutoza bei rahisi Lazima apandishe kodi.

Huyo mwanamke atakapo panda thaman ndio atakapo ona jamaa sio type yake hivyo ataanza nyodo. Nimala nying Sana hutokea kitu kama hiyo

By the way wew naymchungaji muwe mna mfanyia ibada rafiki yako walau kila week Mala moja ili asije jiua hapo baadae mambo yakienda ndivyo sivyo
 
Sio tu kukupandishia kodi, bali atakutimua ili ampangishie mtu mpya kwa bei kubwa zaidi🀣🀣🀣
 
Nchi gani haina mkoa au kwako ni nini maana ya mkoa? isijekuwa hata nawe unaishi mkoani tu ila hujui...teh [emoji16]
 
[emoji477]
Ya moto
 
Mbona unashughulika saaana na hayo mahusiano ya rafiki yako??? Si kaamua yeye unajuaje km ndo amefika mwisho wa kuangaika na mapenzi?
 
Pia tambua kuna tofauti kubwa kabisa kati ya mvulana na mwanaume, na hii haijalishi muhusika atakuwa anaishi mahali gani.

Mvulana huwa hana maamuzi yaliyonyoka hata siku moja kwa Mwa/Wanawake linapokuja swala la NDIYO au HAPANA ili asimamie ukweli na kuwa huru ingawa ni rijali na ana ni jinsia ya kiume.

Mwanaume huwa hapindishi kimaamuzi kwa Mwa/Wanawake linapokuja swala la NDIYO au HAPANA ili asimamie ukweli na kuwa huru ilihali akiwa ana jinsia ya kiume.

Mara nyingi utofauti huo husababishwa na ukomavu wa akili kimahusiano kwa asili ya Mtu kitabia au kuzongwazongwa na changamoto nyingi sana kimahusiano baada ya kusalitiwa na Mwa/Wanawake.

So unapomwona kijana kama huyo bado anapelekeshwa katika hatua kama hiyo tambua ndipo kwanza anaanza kukomaa kiupeo ili atoke kwenye uvulana na kuingiwa na uanaume, japo si wote wanaofaulu hiyo hatua maana wapo ambao hudumu daima kuwa wavulana hadi uzeeni sababu ya ulimbukeni wao tu mapenzi.
 
Sjakuelewa wewe, sjamuelewa rafiki ako, wewe unaonekana kuguswa sana na hayo mahusiano ya rafiki ako, rafiki yako naye sjui zoba au zuzu eti anafikia hatua ya kuuza mahindi alopewa na mama mtoto kwa ajili ya chakula kisa mwanamke
 
Mwambie nakodisha bastora kwa bei rahisi [emoji23]

"Kuna vitu vingine ni vya kujitakia hizo ela za kusomesha si bora upige vyombo tu maana mbinguni hamna bia [emoji16]
 
Nasikia harufu ya kifo kifo....



😰😭😭😭😭😭😭
 
Akimalizana na mchumba asomeshe na wadogo wa mchumba..akimaliza ajenge na nyumba ukweni..m

Mambo mengine bwana..
 
Kwa hii sentensi. Huyo jamaa yako anapoteza muda kwa huyo muhuni. Huyo mwanamke hatakuja kumuoa baada ya kumaliza chuo. Kama jamaa ameishia form 4 au 6 basi ndiyo imetoka hivyo. Mwambie jamaa yako fa*la sana. Mchumba hasomeshwi
Cha ajabu kila wiki makusanyo yote ya wiki nzima mchumba anakuja kuchukua kirahisi kabisa weekend.na ikifika jumatatu jamaa ananiambia Jana Shemeji yako kaja na hapa sina hela kabisa maana kuna mahitaji nimempa ya chuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…