Rafiki yangu anatafuta mtu wa kumzalia mtoto kwa makubaliano maalum

Rafiki yangu anatafuta mtu wa kumzalia mtoto kwa makubaliano maalum

lady Jay

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2016
Posts
529
Reaction score
655
Habari,

Nina rafiki yangu anataka kuwa surrogate mother.

Kama kuna mwanaume au mwanamke au wanandoa wanahitaji mtoto, then yuko tayari kuwazalia kwa makubaliano maalum.

Mtoto akishazaliwa then mhusika anamchukua mtoto wake..

Kindly PM kama utahitaji .
 
Habari,
Nina rafiki yangu anatafuta mwanaume au
mwanamke au wanandoa awazalie mtoto kwa
makubaliano maalum.
Mtoto akishazaliwa then hao watu wanamchukua
mtoto wao..
Kindly PM kama utahitaji .
embu fanya uhakiki ulichoandika
 
kuna ukakasi kwenye maelezo yako, una rafiki yako anatafuta mwanamke au mwanaume awazalie mtoto?

uyo rafiki yako akipata mwanaume atamzalia na pia akipata mwanamke atamzalia sijawai kuona jinsia ya ivyo uyo rafiki yako njinsia yake ya maajabu au mi ndio sielewi
 
Mwanamke ambaye huenda kaolewa au hajaolewa ,LAKINI HANA UWEZO WA KUZAA.


Hivo huyo Mwanamke, anakubaliana na Mumewe

Kua "Mume wewe nenda ulale na fulani, azae, tuchukie mtoto"



Haujaelewa tu??? Ukiona hujaelewa, ujue umeshafeli.
Mimi mwenyewe nilielewa mapema tu, Japokua nilijua pia kuna watu hawatoelewa au wataelewa ila watataka ufafanuzi zaidi kwa kuvunga hawajaelewa..
 
Habari,

Nina rafiki yangu anataka kuwa surrogate mother.

Kama kuna mwanaume au mwanamke au wanandoa wanahitaji mtoto ,then yuko tayari kuwazalia kwa makubaliano maalum.

Mtoto akishazaliwa then mhusika anamchukua mtoto wake..

Kindly PM kama utahitaji .
Vipi shida yake ni kuzaa tu na kugawa mtoto, je ana mtoto mwingine? Na pia ikitokea mtu akahitaji kuanzisha nae familia kabisa na sio huo u surrogate napo vipi yuko tayar..?!


Mwisho, nini sababu ya yeye kuchukua maamuzi hayo? Sabu ni nadra sana kwa mwanamke kua na uamuzi huo mara nyingi tunaona ni wanaume pekee ndiyo wana hii tabia ya mikataba ya kuzaliwa watoto na mwanamke bila ndoa wala mahusiano rasmi na kisha kuwachukua.
 
Yani wanandoa ambao hawajafanikiwa kupata mtoto,

Wamuone rafiki yako ili huyo Mume afanye nae Mapenzi kwa lengo awasaidie kupata Mtoto.
 
Back
Top Bottom