Rafiki yangu anatafuta mtu wa kumzalia mtoto kwa makubaliano maalum

Rafiki yangu anatafuta mtu wa kumzalia mtoto kwa makubaliano maalum

Yani wanandoa ambao hawajafanikiwa kupata mtoto,

Wamuone rafiki yako ili huyo Mume afanye nae Mapenzi kwa lengo awasaidie kupata Mtoto.
Yes...Siyo lazima wafanye mapenzi though kama mke wa huyo jamaa hataki.

Anaweza chukua sperms za mumewe akamuekea huyo dada.Then pia wana haki ya kufuatilia mwenendo wa mimba.
 
Vipi shida yake ni kuzaa tu na kugawa mtoto, je ana mtoto mwingine? Na pia ikitokea mtu akahitaji kuanzisha nae familia kabisa na sio huo u surrogate napo vipi yuko tayar..?!

Mwisho, nini sababu ya yeye kuchukua maamuzi hayo? Sabu ni nadra sana kwa mwanamke kua na uamuzi huo mara nyingi tunaona ni wanaume pekee ndiyo wana hii tabia ya mikataba ya kuzaliwa watoto na mwanamke bila ndoa wala mahusiano rasmi na kisha kuwachukua.
She has her personal reasons.
 
Mmmmh kwanini Mimi nisiamini huyo mtu anatafuta kitonga cha maisha sa ameamua kuztafuta mtu WA kumuhudumia kijanja Tu.
je akiwa ni Malaya WA kutupwa yaani mwanangu awe na mama Malaya.
pia kwanini Mimi nisiamini ni mtindo mpya WA kujiuza kijanja Ila mtu anakuwa Tyr kubeba mimba.

iweNI makini wanaume si kila mwanamke ni WA kumlala upate mtoto utapata magundu mikosi ya kufa mtu mi yangu ni hayo Tu.
 
kuna ukakasi kwenye maelezo yako, una rafiki yako anatafuta mwanamke au mwanaume awazalie mtoto?

uyo rafiki yako akipata mwanaume atamzalia na pia akipata mwanamke atamzalia sijawai kuona jinsia ya ivyo uyo rafiki yako njinsia yake ya maajabu au mi ndio sielewi
Mbona iko sawa, wewe ndio huelewi....
Kuna familia wanahitaji mtoto ila labda mama ana shida kuzaa au hataki. Huyu mwanamke yeye yuko tayari kuwazalia.
Sasa nini kisichoeleweka hapo? Tulizeni akili mkisoma, sio kuwa one dimension tu.
 
AahahAhhahAAaah. Huyo anajiuza kijanja anatafuta ridhiki Tu hakuna jipya hapo. Mimba watu wanapga kitaa tena mademu wenyewe ndo wanataka na hakuna kudaiwa gari wala nyumba na mtoto unachukua
Samahani mkuu, unajua maana ya surrogacy?

Mtoto akishazaliwa hakuhusu, unampatia mhusika..But kwa case hiyo uliyoelezea huyo mama anaweza rudi kumdai mwanae.

Pia, ndiyo ana her personal reasons.
 
Mmmmh kwanini Mimi nisiamini huyo mtu anatafuta kitonga cha maisha sa ameamua kuztafuta mtu WA kumuhudumia kijanja Tu.
je akiwa ni Malaya WA kutupwa yaani mwanangu awe na mama Malaya.
pia kwanini Mimi nisiamini ni mtindo mpya WA kujiuza kijanja Ila mtu anakuwa Tyr kubeba mimba.

iweNI makini wanaume si kila mwanamke ni WA kumlala upate mtoto utapata magundu mikosi ya kufa mtu mi yangu ni hayo Tu.
Hakuna hapo ulipolazimishwa mkuu.

Wenye uhitaji watani PM.
 
Mpango tu wa pesa, si vinginevyo!
Ila idea yake mzuri, ni faida kwa wamama wasiozaa ktk ndoa zao.
Ila ktk Hilo mke amruhusu mume amgegede huyo mdada, na si kumpa masharti ya kutoa mbegu kitaalamu
[emoji848][emoji848]
 
Mkuu mleta uzi pole sana inaonekana watu wengi hawana uelewa juu ya surrogate mothers na nadhani kwa kuwa inafanyika sana majuu ndo maana huku tunashangaana,i hope wapo wenye uhitaji watakuja
 
Back
Top Bottom