Rafiki yangu anatafuta mtu wa kumzalia mtoto kwa makubaliano maalum

Rafiki yangu anatafuta mtu wa kumzalia mtoto kwa makubaliano maalum

Yes unamlipa vizuri na pia una haki kufuatilia mwenendo wa mimba.

Anahitaji nyumba na gari.

IMG-20211009-WA0040.jpg
 
Mmmmh kwanini Mimi nisiamini huyo mtu anatafuta kitonga cha maisha sa ameamua kuztafuta mtu WA kumuhudumia kijanja Tu.
je akiwa ni Malaya WA kutupwa yaani mwanangu awe na mama Malaya.
pia kwanini Mimi nisiamini ni mtindo mpya WA kujiuza kijanja Ila mtu anakuwa Tyr kubeba mimba.

iweNI makini wanaume si kila mwanamke ni WA kumlala upate mtoto utapata magundu mikosi ya kufa mtu mi yangu ni hayo Tu.
Mtoto hasadifu Tabia bro,
Tabia za mtu ni za kimazingira sio maumbile
 
Mmmmh kwanini Mimi nisiamini huyo mtu anatafuta kitonga cha maisha sa ameamua kuztafuta mtu WA kumuhudumia kijanja Tu.
je akiwa ni Malaya WA kutupwa yaani mwanangu awe na mama Malaya.
pia kwanini Mimi nisiamini ni mtindo mpya WA kujiuza kijanja Ila mtu anakuwa Tyr kubeba mimba.

iweNI makini wanaume si kila mwanamke ni WA kumlala upate mtoto utapata magundu mikosi ya kufa mtu mi yangu ni hayo Tu.
I agree with u[emoji1635][emoji1635]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
uyo rafiki yako akipata mwanaume atamzalia na pia akipata mwanamke atamzalia sijawai kuona jinsia ya ivyo uyo rafiki yako njinsia yake ya maajabu au mi ndio sielewi
Yaan namnyandua mm ama
Hapana, sio lazima kufanyika kwa tendo, Zipo njia zingine zitumikazo kama IVF.

Soma
---
Surrogacy is an arrangement, often supported by a legal agreement, whereby a woman (the surrogate mother) agrees to bear a child for another person or persons, who will become the child's parent(s) after birth.

Surrogacy may be either traditional or gestational, which are differentiated by the genetic origin of the egg. Gestational surrogacy tends to be more common than traditional surrogacy and is considered less legally complex.

In some cases couples can’t have a child even after evaluating most of the options available. One of the options for such couple is surrogacy. In this video, We tried to explain what is surrogacy and how it works


Mifano hai
- Hapo kenya




Kwa nchi za ulaya, Sio jambo geni kabisa

 
Rafiki yako anatafuta mwanaume au mwanamke wa kumzalia mtoto....
Huyo rafiki yako yeye ni jinsia gani sasa.
Ngoja nikaanue nguo kwanza zisipauke jua kali sana leo
Surrogate huwa mara nyingi ni mwanamke..... Yaani wewe mwanaume na mke wako kama hamna uwezo wa kubeba ujauzito, yeye anajitilea tumbo lake kubeba kijusi chenu ambacho atapandikizwa maabara bila sexual intercourse.
 
miss pablo uchagan mahari inaanzia ngapi?


Ila mmhh kwa uzuri wako huoo + walivyokusomesha[emoji23][emoji23]

Hapo nitapigwa[emoji23][emoji23][emoji23]

Dawa ya hao wachaga naijua mimi Carlos
Unawania wazuri wewe? Wamelala sinza na kinondoni makaburini wewe.

Fanya biashara hapo

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
kuna ukakasi kwenye maelezo yako, una rafiki yako anatafuta mwanamke au mwanaume awazalie mtoto?

uyo rafiki yako akipata mwanaume atamzalia na pia akipata mwanamke atamzalia sijawai kuona jinsia ya ivyo uyo rafiki yako njinsia yake ya maajabu au mi ndio sielewi
Jielimishe kwanza kuhusu kitu kinaitwa surrogacy. Ni kigeni hapa bongo maana sio kawaida.
 
Mwanamke ambaye huenda kaolewa au hajaolewa ,LAKINI HANA UWEZO WA KUZAA.


Hivo huyo Mwanamke, anakubaliana na Mumewe

Kua "Mume wewe nenda ulale na fulani, azae, tuchukie mtoto"



Haujaelewa tu??? Ukiona hujaelewa, ujue umeshafeli.
Hapana sio kulala nae. Wanakwenda maabara. Yai la mwanamke linachukuliwa mbegu ya mwanaume vinaunganishwa kwa vifaa vya maabara kisha huyo mwanamke anaejitolea anapandikizwa kwa kutumia kifaa maalumu ukeni kwake. Hakuna muingiliano wa kimwili
 
Ndiyo maana yake, na lazima afanye hivyo kwa mkataba wa kuandika mahakamani. Lakini jee mahakama zetu zinatambua mikataba ya aina hiyo?

Najua kwa sasa India biashara hiyo imeshamiri sana, ila bei ni kubwa kwa watu wa kawaida.
Mahakama inaweza kuwa kizuizi kama wakiwa na mambo za kizamani.
 
Yaani wale starehe wao mimi wanipe another mouth to feed!!!
 
Surrogate huwa mara nyingi ni mwanamke..... Yaani wewe mwanaume na mke wako kama hamna uwezo wa kubeba ujauzito, yeye anajitilea tumbo lake kubeba kijusi chenu ambacho atapandikizwa maabara bila sexual intercourse.
Kwa hiyo yeye ni mwanamke na huto huyo ni mwanaume na vina fanya kazi vyote
 
Mbegu zitaingiaje?
Anapandikizwa embryo yaani kijusi baada ya mbegu ya mwanaume na yai la mwanamke kuunganishwa kwenye zile tubes za maabara kisha kijusi kutokea ndio wanachukua kifaa maalumu anaingizwa ukeni kisha kupandikizwa kile kijusi kwenye mji wa uzazi na mimba inatunga kama kawa.

Mtoto akitoka anakuwa na DNA za baba na mama yake wa asili huyu mwanamke anakuwa hafananii DNA hata chembe na mtoto. Na sharti ni moja mtoto akizaliwa anachukuliwa pale pale , haruhusiwi hata kumuona maana wengine huwa wanajikuta wanaumia kumuacha tena mtoto alietoka tumboni kwake ingawa si wake tena.

So huwa wanaamka tu na kukuta mtoto hayupo na hawaruhusiwi kumuona.

Ni maamuzi magumu sana mtu kuchukua.

Ukitaka kujua zaidi ingia online tafuta '"''Surrogacyc"''"
 
Yani wanandoa ambao hawajafanikiwa kupata mtoto,

Wamuone rafiki yako ili huyo Mume afanye nae Mapenzi kwa lengo awasaidie kupata Mtoto.
Sasa we nae mtoto hapo si atakuwa wa huyo mwanaume na mwanamke anae lala nae au basi umeamua kutokuelewa mkuu?!
 
Yes...Siyo lazima wafanye mapenzi though kama mke wa huyo jamaa hataki.

Anaweza chukua sperms za mumewe akamuekea huyo dada.Then pia wana haki ya kufuatilia mwenendo wa mimba.
Surrogacy haiendi hivyo.

Ni kwamba zinachukuliwa mbegu za kiume za mume na yai la mke wake wa ndoa, halafu zinakuwa fertilized kwenye maabara (kama vile mpango wa IVF). Halafu anachukuliwa foetus na kuwekwa kwenye tumbo la uzazi la mwanamke mwengine (surrogate mother) ili kuilea ile mimba mpaka itimie.

Kwa hivyo kibiologia DNA za huyu mtoto ni za mama na baba waliooana. Yeye ametumika kukuzishia mimba tu kwa vile hasa inakuwa mama ana matatizo ya kuzuia mimba naturally.
 
Back
Top Bottom