Expert911
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 695
- 1,236
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhMbegu zitaingiaje?
Mkuu kuna wanawake huoa mabinti Kisha hao mabinti(waolewaji) huzalishwa na wanaume na watoto wanakuwa ni wa yule Mama mioaji. Mara ipo Sana hio kwenye jamii ya wakurya, "nyumba ntobhu"Rafiki yako anatafuta mwanaume au mwanamke wa kumzalia mtoto....
Huyo rafiki yako yeye ni jinsia gani sasa.
Ngoja nikaanue nguo kwanza zisipauke jua kali sana leo
Habari,
Nina rafiki yangu anataka kuwa surrogate mother.
Kama kuna mwanaume au mwanamke au wanandoa wanahitaji mtoto, then yuko tayari kuwazalia kwa makubaliano maalum.
Mtoto akishazaliwa then mhusika anamchukua mtoto wake..
Kindly PM kama utahitaji .
Sababu hapo ni kupata nyumba na gari, kwanini anataka nyumba na gari ndio personal reasons sasa,achana nazo hazikuhusu.Kila kitu personal reason ,personal reason!! Ni zip hizo ambazo huwez kuweka waz?? Hapo kuna ukakasi!!
Huyo rafiki yako ana akili timamu, yaani anafaa kuwa Mama wa mtu? Je, aliwahi kuwa changudoa huko nyuma.....nauliza hivi kwa sababu si vizuri kuzaa na mwanamke aliye na sifa za kijinga kisha mtoto akaja kurithi tabia ya Mama yake, haumtendei mtoto haki.Habari,
Nina rafiki yangu anataka kuwa surrogate mother.
Kama kuna mwanaume au mwanamke au wanandoa wanahitaji mtoto, then yuko tayari kuwazalia kwa makubaliano maalum.
Mtoto akishazaliwa then mhusika anamchukua mtoto wake..
Kindly PM kama utahitaji .
Si hivyo. Surrogate mother ni yule anapandikizwa Mimba ambayo imetokana na sperm na yai la mke na mume ambapo mke hawezi shika mimba au hataki kubeba Mimba. Mfano baadhi ya watoto wa Kim kardashian.Mwanamke ambaye huenda kaolewa au hajaolewa ,LAKINI HANA UWEZO WA KUZAA.
Hivo huyo Mwanamke, anakubaliana na Mumewe
Kua "Mume wewe nenda ulale na fulani, azae, tuchukie mtoto"
Haujaelewa tu??? Ukiona hujaelewa, ujue umeshafeli.
kuna ukakasi kwenye maelezo yako, una rafiki yako anatafuta mwanamke au mwanaume awazalie mtoto?
uyo rafiki yako akipata mwanaume atamzalia na pia akipata mwanamke atamzalia sijawai kuona jinsia ya ivyo uyo rafiki yako njinsia yake ya maajabu au mi ipo sana
Unavyosema atawangaisha na mtoto, huyo dada unamjua au unaongea tu?Jamanieee huu ni mtego wa kujikwamua kimaisha msisubutu na bado atawahangaisha na huyo mtoto!Rafiki yako huyo mleta mada ni Bikra?
We nae, huyo mtoto anakua siyo wa huyo dada..Yeye anawasaidia kubeba mbegu na yai kwenye mfuko wake wa uzazi, na huyo mtoto hamuhusu.Huyo rafiki yako ana akili timamu, yaani anafaa kuwa Mama wa mtu? Je, aliwahi kuwa changudoa huko nyuma.....nauliza hivi kwa sababu si vizuri kuzaa na mwanamke aliye na sifa za kijinga kisha mtoto akaja kurithi tabia ya Mama yake, haumtendei mtoto haki.
Nadhani amemaanisha,Rafiki yake anataka "kuatamia" mayai ya watu wengine,akitotoa watoto waliotoa mayai wanachukua watoto wao.Wanamalizana kiivyoMwanamke ambaye huenda kaolewa au hajaolewa ,LAKINI HANA UWEZO WA KUZAA.
Hivo huyo Mwanamke, anakubaliana na Mumewe
Kua "Mume wewe nenda ulale na fulani, azae, tuchukie mtoto"
Haujaelewa tu??? Ukiona hujaelewa, ujue umeshafeli.
Ok mi nataka anizalie mtoto,kwa njia ya kawaida akishazaa ananiachia mtoto tunaachana,vipi tunafanyaje na anapatikanajeIt's business.
Tangazo halina shida. Lisome kwa lengo la kuelewa. Kimsingi anatafuta wanandoa (ke au me) ambao wanataka kupata mtoto nje ya wedlock.kuna ukakasi kwenye maelezo yako, una rafiki yako anatafuta mwanamke au mwanaume awazalie mtoto?
uyo rafiki yako akipata mwanaume atamzalia na pia akipata mwanamke atamzalia sijawai kuona jinsia ya ivyo uyo rafiki yako njinsia yake ya maajabu au mi ndio sielewi
Huyu wa kutafta mimba kwa torch mmmhYuko Dsm.