Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Daah maisha yamekuwa magumu hivyo?Yes unamlipa vizuri na pia una haki kufuatilia mwenendo wa mimba.
Anahitaji nyumba na gari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah maisha yamekuwa magumu hivyo?Yes unamlipa vizuri na pia una haki kufuatilia mwenendo wa mimba.
Anahitaji nyumba na gari.
Hiyo point ya mwisho mfano ni Cristiano Ronaldo yule mtoto wake mkubwa. Cristiano Ronaldo JrVipi shida yake ni kuzaa tu na kugawa mtoto, je ana mtoto mwingine? Na pia ikitokea mtu akahitaji kuanzisha nae familia kabisa na sio huo u surrogate napo vipi yuko tayar..?!
Mwisho, nini sababu ya yeye kuchukua maamuzi hayo? Sabu ni nadra sana kwa mwanamke kua na uamuzi huo mara nyingi tunaona ni wanaume pekee ndiyo wana hii tabia ya mikataba ya kuzaliwa watoto na mwanamke bila ndoa wala mahusiano rasmi na kisha kuwachukua.
Yes...Siyo lazima wafanye mapenzi though kama mke wa huyo jamaa hataki.
Hapana, huyo mtoto atakua anamhusu kwa sababu atatumia yai lake. Hataki kutumia yai lake.
At first nilijua yuko tayari kufanya either way ila badae akasema hataki kuwa attached to that bby.Mbona kama huyo dada ni wewe mwenyewe. Mwanzo ulikua tayari mtoto kupatikana kwa sexual intercourse lakini baadae umebadili mawazo.
ukiwa ni wewe wala usione haya mremboMimi?
Hujamwelewa Tukuna ukakasi kwenye maelezo yako, una rafiki yako anatafuta mwanamke au mwanaume awazalie mtoto?
uyo rafiki yako akipata mwanaume atamzalia na pia akipata mwanamke atamzalia sijawai kuona jinsia ya ivyo uyo rafiki yako njinsia yake ya maajabu au mi ndio sielewi
sema tu kashabebeshwa mimbaa, sasa unatafutaa namnaa ya kumkamataishaaa mtuHabari,
Nina rafiki yangu anataka kuwa surrogate mother.
Kama kuna mwanaume au mwanamke au wanandoa wanahitaji mtoto, then yuko tayari kuwazalia kwa makubaliano maalum.
Mtoto akishazaliwa then mhusika anamchukua mtoto wake..
Kindly PM kama utahitaji .
Hapa kuna kumuhangaisha mzalishaji,umesema anataka nyumba na gari,after sometime gari litachoka maana linahitaji service,pia nyumba itazeeka itahitaji maintainance na maintainance.Wewe unadhani kupewa nyumba na gari akimaliza hatasumbuliwa tena?You are like christopher colombus=a great lier!Hiyo ngoma itageuka tu.Unavyosema atawangaisha na mtoto, huyo dada unamjua au unaongea tu?
Pia , ubikra unaingiaje hapa?
Sometimes it is better mkae zenu tu kimya kuliko kujifanya wajuaji.
udangaji uliochangamkaYes unamlipa vizuri na pia una haki kufuatilia mwenendo wa mimba.
Anahitaji nyumba na gari.
AahahAhhahAAaah. Huyo anajiuza kijanja anatafuta ridhiki Tu hakuna jipya hapo. Mimba watu wanapga kitaa tena mademu wenyewe ndo wanataka na hakuna kudaiwa gari wala nyumba na mtoto unachukua
Mbona nimekuelewa vizuri tu....huyo rafiki yako ambaye nahisi ni wewe mwenyewe lady Jay si atakuwa anabeba ujauzito wangu, si ndiyo? Mbegu zako na zangu zinaumba mtoto ambaye atakuwa wangu, tambua kuwa kama wewe ulikuwa changudoa huko nyuma kuna uwezekano mkubwa mwanangu akawa na tabia za kijinga kama zako. Ulikuwa hujuwi hili? Kama uanataka kuwa surrogate basi hakikisha hauna tabia za kijinga na kutia wenzako hasara na stress kulea mtoto aliyeshindikana. Kina Mama tambueni ujinga mnaoufanya ujanani, unawafuata kila muendako.We nae, huyo mtoto anakua siyo wa huyo dada..Yeye anawasaidia kubeba mbegu na yai kwenye mfuko wake wa uzazi, na huyo mtoto hamuhusu.
Wenzio huko juu wameelezea vizuri tu.
Acha ushamba .kuna ukakasi kwenye maelezo yako, una rafiki yako anatafuta mwanamke au mwanaume awazalie mtoto?
uyo rafiki yako akipata mwanaume atamzalia na pia akipata mwanamke atamzalia sijawai kuona jinsia ya ivyo uyo rafiki yako njinsia yake ya maajabu au mi ndio sielewi
Acha jazba..Hakuna sehemu ulikolazimishwa.Mbona nimekuelewa vizuri tu....huyo rafiki yako ambaye nahisi ni wewe mwenyewe lady Jay si atakuwa anabeba ujauzito wangu, si ndiyo? Mbegu zako na zangu zinaumba mtoto ambaye atakuwa wangu, tambua kuwa kama wewe ulikuwa changudoa huko nyuma kuna uwezekano mkubwa mwanangu akawa na tabia za kijinga kama zako. Ulikuwa hujuwi hili? Kama uanataka kuwa surrogate basi hakikisha hauna tabia za kijinga na kutia wenzako hasara na stress kulea mtoto aliyeshindikana. Kina Mama tambueni ujinga mnaoufanya ujanani, unawafuata kila muendako.