Rafiki yangu anatafuta mtu wa kumzalia mtoto kwa makubaliano maalum

Rafiki yangu anatafuta mtu wa kumzalia mtoto kwa makubaliano maalum

Vipi shida yake ni kuzaa tu na kugawa mtoto, je ana mtoto mwingine? Na pia ikitokea mtu akahitaji kuanzisha nae familia kabisa na sio huo u surrogate napo vipi yuko tayar..?!

Mwisho, nini sababu ya yeye kuchukua maamuzi hayo? Sabu ni nadra sana kwa mwanamke kua na uamuzi huo mara nyingi tunaona ni wanaume pekee ndiyo wana hii tabia ya mikataba ya kuzaliwa watoto na mwanamke bila ndoa wala mahusiano rasmi na kisha kuwachukua.
Hiyo point ya mwisho mfano ni Cristiano Ronaldo yule mtoto wake mkubwa. Cristiano Ronaldo Jr
 
Mbona kama huyo dada ni wewe mwenyewe. Mwanzo ulikua tayari mtoto kupatikana kwa sexual intercourse lakini baadae umebadili mawazo.
At first nilijua yuko tayari kufanya either way ila badae akasema hataki kuwa attached to that bby.

Nimeleta tu issue mezani, atakayehitaji watazungumza wenyewe waelewane.
 
Hicho nacho ni kiwanda tu kinachotembea.
Ushauri: yoyote anaetaka kuzaliwa mtoto na huyo dada ahakikishe amesajiliwa Brela.
 
kuna ukakasi kwenye maelezo yako, una rafiki yako anatafuta mwanamke au mwanaume awazalie mtoto?

uyo rafiki yako akipata mwanaume atamzalia na pia akipata mwanamke atamzalia sijawai kuona jinsia ya ivyo uyo rafiki yako njinsia yake ya maajabu au mi ndio sielewi
Hujamwelewa Tu

Anamaanisha anataka wanaume Ampe mimba amzalie huyo mwanaume akisha mzalia achukie mtoto wake Kwa makubaliano

Sasa mwenyehitaji Hilo anaweza akawa mwanaume furani au wanandoa( me +ke ) wakakibaliana kuwa mume wa MKE husika akampe ujauzito huyo bibie ili amzalie mtoto au kama kuna mwanamke kivyovyote anataka mtoto aende akaongee naye ili ampatie mume Azae naye baadaye akachukue mwanae
 
Habari,

Nina rafiki yangu anataka kuwa surrogate mother.

Kama kuna mwanaume au mwanamke au wanandoa wanahitaji mtoto, then yuko tayari kuwazalia kwa makubaliano maalum.

Mtoto akishazaliwa then mhusika anamchukua mtoto wake..

Kindly PM kama utahitaji .
sema tu kashabebeshwa mimbaa, sasa unatafutaa namnaa ya kumkamataishaaa mtu
 
Unavyosema atawangaisha na mtoto, huyo dada unamjua au unaongea tu?

Pia , ubikra unaingiaje hapa?

Sometimes it is better mkae zenu tu kimya kuliko kujifanya wajuaji.
Hapa kuna kumuhangaisha mzalishaji,umesema anataka nyumba na gari,after sometime gari litachoka maana linahitaji service,pia nyumba itazeeka itahitaji maintainance na maintainance.Wewe unadhani kupewa nyumba na gari akimaliza hatasumbuliwa tena?You are like christopher colombus=a great lier!Hiyo ngoma itageuka tu.
Point ya Bikra imekukera nini?Nina wasiwasi huyu rafiki yako sio rafiki yako ni wewe!
 
Ishu ya surrogacy ni ngeni kwa Tanzania.

Ina taratibu zake za kisheria na kitabibu, inaruhusiwa Tanzania?

Au la mfanyie nje ya nchi.

Kwakuwa rafiki yako anataka nyumba na gari basi hiyo ni "commercial surrogacy"

Mkataba wenu unakamilika ukijifungua tu na kupatiwa stahiki zako.

Complications zipo nyingi lakini, dini zinakataza hili, mtoto ana haki ya kujua origin yake, psychological effects kwani kubeba mimba miezi tisa halafu uachie mtoto si jambo dogo na utahitaji counseling sana
 
AahahAhhahAAaah. Huyo anajiuza kijanja anatafuta ridhiki Tu hakuna jipya hapo. Mimba watu wanapga kitaa tena mademu wenyewe ndo wanataka na hakuna kudaiwa gari wala nyumba na mtoto unachukua

mkuu hujaelewa.

yaani wewe na mkeo mnaoanisha mbegu zenu na yai,kazi yake inakuwa ni kubeba mimba na kuzaa pekee.

hii aliifanya kim na mumewe kanye.
kwa bongo sijasikia bado,yess unamlipa maana sio kazi ndogo hiyo,ingaw akibongo bongo kwa ugumu wa maisha unawezapata mtu hata kwa milioni 2[emoji28][emoji28]zoezi likaisha.
 
We nae, huyo mtoto anakua siyo wa huyo dada..Yeye anawasaidia kubeba mbegu na yai kwenye mfuko wake wa uzazi, na huyo mtoto hamuhusu.

Wenzio huko juu wameelezea vizuri tu.
Mbona nimekuelewa vizuri tu....huyo rafiki yako ambaye nahisi ni wewe mwenyewe lady Jay si atakuwa anabeba ujauzito wangu, si ndiyo? Mbegu zako na zangu zinaumba mtoto ambaye atakuwa wangu, tambua kuwa kama wewe ulikuwa changudoa huko nyuma kuna uwezekano mkubwa mwanangu akawa na tabia za kijinga kama zako. Ulikuwa hujuwi hili? Kama uanataka kuwa surrogate basi hakikisha hauna tabia za kijinga na kutia wenzako hasara na stress kulea mtoto aliyeshindikana. Kina Mama tambueni ujinga mnaoufanya ujanani, unawafuata kila muendako.
 
kuna ukakasi kwenye maelezo yako, una rafiki yako anatafuta mwanamke au mwanaume awazalie mtoto?

uyo rafiki yako akipata mwanaume atamzalia na pia akipata mwanamke atamzalia sijawai kuona jinsia ya ivyo uyo rafiki yako njinsia yake ya maajabu au mi ndio sielewi
Acha ushamba .
Ni hivi kama mkeo hawezi kubeba basi mnamuita huyo dada mnamupima afya na mambo mengi tu mnampima ilimjue ni mtu waaina gani maana mtoto ndio ataridhi.
Basi mnaenda kwa doctor anatoa sperm na mama yai mnampandikiza basi kifika siku mnamchukua mtoto wenu.
 
Mbona nimekuelewa vizuri tu....huyo rafiki yako ambaye nahisi ni wewe mwenyewe lady Jay si atakuwa anabeba ujauzito wangu, si ndiyo? Mbegu zako na zangu zinaumba mtoto ambaye atakuwa wangu, tambua kuwa kama wewe ulikuwa changudoa huko nyuma kuna uwezekano mkubwa mwanangu akawa na tabia za kijinga kama zako. Ulikuwa hujuwi hili? Kama uanataka kuwa surrogate basi hakikisha hauna tabia za kijinga na kutia wenzako hasara na stress kulea mtoto aliyeshindikana. Kina Mama tambueni ujinga mnaoufanya ujanani, unawafuata kila muendako.
Acha jazba..Hakuna sehemu ulikolazimishwa.
 
Back
Top Bottom