Anajinsia zote inaonekanaRafiki yako anatafuta mwanaume au mwanamke wa kumzalia mtoto....
Huyo rafiki yako yeye ni jinsia gani sasa.
Ngoja nikaanue nguo kwanza zisipauke jua kali sana leo
Means wazao wao then wampe mtotokuna ukakasi kwenye maelezo yako, una rafiki yako anatafuta mwanamke au mwanaume awazalie mtoto?
uyo rafiki yako akipata mwanaume atamzalia na pia akipata mwanamke atamzalia sijawai kuona jinsia ya ivyo
Huenda au ni jiniAnajinsia zote inaonekana
Hapo ndio nimekuelewa vizur sasaYes,
Mimi mwenyewe nilielewa mapema tu, Japokua nilijua pia kuna watu hawatoelewa au wataelewa ila watataka ufafanuzi zaidi kwa kuvunga hawajaelewa..Mwanamke ambaye huenda kaolewa au hajaolewa ,LAKINI HANA UWEZO WA KUZAA.
Hivo huyo Mwanamke, anakubaliana na Mumewe
Kua "Mume wewe nenda ulale na fulani, azae, tuchukie mtoto"
Haujaelewa tu??? Ukiona hujaelewa, ujue umeshafeli.
Vipi shida yake ni kuzaa tu na kugawa mtoto, je ana mtoto mwingine? Na pia ikitokea mtu akahitaji kuanzisha nae familia kabisa na sio huo u surrogate napo vipi yuko tayar..?!Habari,
Nina rafiki yangu anataka kuwa surrogate mother.
Kama kuna mwanaume au mwanamke au wanandoa wanahitaji mtoto ,then yuko tayari kuwazalia kwa makubaliano maalum.
Mtoto akishazaliwa then mhusika anamchukua mtoto wake..
Kindly PM kama utahitaji .