Leonard hermence
Member
- Feb 17, 2021
- 18
- 7
Namba ake vipi napataHabari,
Nina rafiki yangu anataka kuwa surrogate mother.
Kama kuna mwanaume au mwanamke au wanandoa wanahitaji mtoto, then yuko tayari kuwazalia kwa makubaliano maalum.
Mtoto akishazaliwa then mhusika anamchukua mtoto wake..
Kindly PM kama utahitaji .
huuu ukata utaibua mengi, hahahhaha kwani yeye hataki kuolewa? au pili ana watoto wangapi wa kwake?Habari,
Nina rafiki yangu anataka kuwa surrogate mother.
Kama kuna mwanaume au mwanamke au wanandoa wanahitaji mtoto, then yuko tayari kuwazalia kwa makubaliano maalum.
Mtoto akishazaliwa then mhusika anamchukua mtoto wake..
Kindly PM kama utahitaji .
PM yangu huionagi ?😁huuu ukata utaibua mengi, hahahhaha kwani yeye hataki kuolewa? au pili ana watoto wangapi wa kwake?
nauliza kwanza ili nije pm maana pia nahitaji
HelloNdio
I wish her the best
Anataka pesaVipi shida yake ni kuzaa tu na kugawa mtoto, je ana mtoto mwingine? Na pia ikitokea mtu akahitaji kuanzisha nae familia kabisa na sio huo u surrogate napo vipi yuko tayar..?!
Mwisho, nini sababu ya yeye kuchukua maamuzi hayo? Sabu ni nadra sana kwa mwanamke kua na uamuzi huo mara nyingi tunaona ni wanaume pekee ndiyo wana hii tabia ya mikataba ya kuzaliwa watoto na mwanamke bila ndoa wala mahusiano rasmi na kisha kuwachukua.
Mwanamke ambaye huenda kaolewa au hajaolewa ,LAKINI HANA UWEZO WA KUZAA.
Hivo huyo Mwanamke, anakubaliana na Mumewe
Kua "Mume wewe nenda ulale na fulani, azae, tuchukie mtoto"
Haujaelewa tu??? Ukiona hujaelewa, ujue umeshafeli.
Hapana mkuuWewe huhutaji hiyo nafasi adhimu…
udangaji uliochangamka