Rafiki yangu anatafuta mtu wa kumzalia mtoto kwa makubaliano maalum

Rafiki yangu anatafuta mtu wa kumzalia mtoto kwa makubaliano maalum

Habari,

Nina rafiki yangu anataka kuwa surrogate mother.

Kama kuna mwanaume au mwanamke au wanandoa wanahitaji mtoto, then yuko tayari kuwazalia kwa makubaliano maalum.

Mtoto akishazaliwa then mhusika anamchukua mtoto wake..

Kindly PM kama utahitaji .
Namba ake vipi napata
 
Habari,

Nina rafiki yangu anataka kuwa surrogate mother.

Kama kuna mwanaume au mwanamke au wanandoa wanahitaji mtoto, then yuko tayari kuwazalia kwa makubaliano maalum.

Mtoto akishazaliwa then mhusika anamchukua mtoto wake..

Kindly PM kama utahitaji .
huuu ukata utaibua mengi, hahahhaha kwani yeye hataki kuolewa? au pili ana watoto wangapi wa kwake?

nauliza kwanza ili nije pm maana pia nahitaji
 
Wadada kibongo bongo hakunaga msimamo

Unawez ibiwa mume
 
Vipi shida yake ni kuzaa tu na kugawa mtoto, je ana mtoto mwingine? Na pia ikitokea mtu akahitaji kuanzisha nae familia kabisa na sio huo u surrogate napo vipi yuko tayar..?!


Mwisho, nini sababu ya yeye kuchukua maamuzi hayo? Sabu ni nadra sana kwa mwanamke kua na uamuzi huo mara nyingi tunaona ni wanaume pekee ndiyo wana hii tabia ya mikataba ya kuzaliwa watoto na mwanamke bila ndoa wala mahusiano rasmi na kisha kuwachukua.
Anataka pesa

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke ambaye huenda kaolewa au hajaolewa ,LAKINI HANA UWEZO WA KUZAA.


Hivo huyo Mwanamke, anakubaliana na Mumewe

Kua "Mume wewe nenda ulale na fulani, azae, tuchukie mtoto"



Haujaelewa tu??? Ukiona hujaelewa, ujue umeshafeli.

Inaweza fanyika pia sperm insemination na ndio njia maarufu zaidi...
 
Nadhan wengi hawajui maana ya surrogacy mother
Hawajui kama baba na mama wanatoa mbegu zao zinapandikizwa maabara then baba na mama wanakodi tumbo la kubebea ujauzito wao kwa mikataba maalumu na makubaliano maalumu makubaliano yanaweza kua hivi hutamuona mtoto akizaliwa,hutakunywa pombe kipindi cha mimba hutavuta sigara,hutasex na yeyote(kuepuka maambuki),hutapaka ma cream and so many things then mtoto akizaliwa salama nitakulipa kiasi kadhaa au nitakupa 1 2 3 kama huyu anataka nyumba na gari so mara nyingi watu hawa huzaa kwa c section na ikiwezekana wanazimwa kabisa wasisikie sauti ya mtoto anakua kama kalala akiamka hakuti mtoto na ulaya baba na mama hua hawajulikan na mbeba mimba yaan mbeba mimba hajui kabeba mtoto wa nani na wabebewa mimba hawajui nan kabeba inategemea na mikataba kama mnaweza juana pia ni sawa kama hamjuani ni kituo maalum kinacholea hawa wabeba mimba ndo kinalipwa na chenyewe ndo kinamlipa mbebaji hivyo kituo ndo kinapokea huduma zoote then ndo kinasimamia choo wakat wa kujifungua wewe unazaa huku wazazi wanasubi mwanao chumba cha pili ukimaliza wanapewa mwanao wanasepa wana clear vharge zao zote haooo.hivyo hutaweza shitaki hujui hata ulibeba mtoto gani,jinsia gan na wa nani.ila sabab kituo kina document mkitaka kuonana kituo kinaweza kuwaunganisha mkaonana.
Hapa bongo ugumu unakuja hairuhusiwi,kama itafanywa kwa siri ni lazima mjuane mkishajuana mikataba sio strong sabab pande zote 2 wanajua kabisa hairuhisiwi unadhan mikigeukana je mtakimbilia wapi?mtatangazana n.k

Kitu ambacho sijui ni mtoto akifia tumbon inakuwaje au akijifungua bahat mbaya inakuwaje,
Hope mmenielewa
udangaji uliochangamka
 
Back
Top Bottom