Rafiki yangu anataka kuahirisha kuoa Baada ya kutumiwa video ya ngono ya mke wake mtarajiwa!

Ndio hivyo Sasa
 
Aende kimya kimya,siku ya sherehe asitokee
Ampige chini Mwanamke siku ya harusi

Akiulizwa kwa nini aoneshe hio video
 
Samahani mkuu hii chai yako nishushie na nini vitumbua au Nkate
 
UTaratibu ukoje kwenye kurudisha labda hela ya chakula kul
Sasa s utoe solution kuitukana sio hoja 10.2M zimelala mkuu
Hapo atume mshenga akawaambie wazazi kuwa kijana ameahirisha kuoa kwa sababu fulani then utaratibu wa kurudishiwa chenji ufuate
 
Kwan ww na rfk Yako Kwenye kikao Cha mwisho Cha wanaume hamkuwepo??
 
Aoe tu kwani kugongewa ni siri ya ndani. Akiendelea kugongwa baada ya ndoa hapo ndipo achukue maamuzi magumu.
 
Aoe tu kwani kugongewa ni siri ya ndani. Akiendelea kugongwa baada ya ndoa hapo ndipo achukue maamuzi magumu.
Mkuu hapo kwenye kuoa Sasa ndio kuna UTATA maana jamaa kuna alinambia anataka kumlipizia mwana Ila mimi nikamwambia asije fanya hayo kuna jela na kifo
 
usimwache, mwamba alikuwa ana m-send off tu
 
Binti asie bikra unamlipiaje mahari wakati alishindwa kujitunza?
 
Mnatunga vistory vya kipuuzi tu hapa.
 
Hasara roho oesa inatafutwa.
Huyi mwana wala asihairishe hilo jambo. Atulie kimya...mwanamke anabwagwa hadharani ili aibuki vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…