Rafiki yangu anataka kuahirisha kuoa Baada ya kutumiwa video ya ngono ya mke wake mtarajiwa!

Rafiki yangu wa karibu sana, ametumiwa video ya ngono ya. Mke wake mtarajiwa na hii ni ya. Majuzi tu,

Sasa ubaya zaidi, mtu aliyekuwa akifanya nae mapenzi ni Rafiki yetu wa karibu! Sana pia, ina maana mwamba alikua akimzumnguka mshikaji wetu

Mpaka gharama zilizotumika
 
Kuna jamaa akauliza hapo juu kuwa yaani wewe na jamaa hamjui cha kufanya. Yaani uanaume huna yaani ni sawa unaziona dhahabu mbele yako unakuja kuulizia kuwa ufanyeje..duu yaani bana so wewe huna inner directive compass
 
👉Mahari na mambo mengine ya kimila(mkoti babu, vitenge vya bibi, ujombani, mama wakubwa )
Jumla-3.5M
👉Ukumbi 1.5
👉Maandalizi mengine karibu 6M mapambo, kukodi magari, Muziki, MC booking, chakula na vinywaji, 👉suti na shela(1.2M)=jumla 10.2M

Sasa jamaa yetu yuko njia Panda kwa gharama ambazo kashatumia anaumia sana kuhairisha shughuli
👉Lakini kwa upande mwingine ili jambo limemuathiri sana

Je afanyaje? Siku ya sherehe ni wiki ijayo ijumaa?
Sehemu nzuri ya kuukiza hili ni Kwa msela mwenyewe Km atasepa na kufanya mengine or kuendelea alee watoto wa masela.
Pili aende Kwa mchungaji/sheikh anapotaka kufanyia ndoa,kueleza mambo yalivyo I think hapa atapata jibu zuri sana tena mno.
Tatu,gharama zinatibika ila donda km hilo halitaleta uaminifu ndani hata kidogo,usishangae wafunge ndoa and hakuna kufanya mapenzi.
 
Jamaa alitaka kuzisambaza video mitandaoni na kudeal na yule jamaa yetu but sheria iko wazi-cybercrime
 
Sehemu nzuri ya kuukiza hili ni Kwa msela mwenyewe Km atasepa na kufanya mengine or kuendelea alee watoto wa masela.
Pili aende Kwa mchungaji/sheikh anapotaka kufanyia ndoa,kueleza mambo yalivyo I think hapa atapata jibu zuri sana tena mno.
Tatu,gharama zinatibika ila donda km hilo halitaleta uaminifu ndani hata kidogo,usishangae wafunge ndoa and hakuna kufanya mapenzi.
Mimi nakumbuka mtu wangu Baada ya kuachana naye miezi miwili baadae Rafiki alianza kuniletea taarifa B hivi unajua ex wako ana mabwana wawili Sasa mmoja dodoma mmoja dsm jirani yake 🤔nilishangaa sana mbona wakati Niko nae sikuwah kuona hzo tabia ikanifunza

Kuna watu wanaficha mkuu
 
Wewe na jamaa yako wote vitobo tuu pumbavu!!!

Hivi nyie wavulana mmekuzwaje kila kitu mnaomba ushauri hivyo vichwa mmebeba kama HELMET??!!!Na hapo ukute wazazi waliuza ng'ombe wakasomesha ng'ombe hizi mbili ENGLISH MEDIUM na chuo mkafika ila bado hamna akili.

#kataa ndoa,ndoa ni utapeli!!!
😅Dah jamii forum Ina watu na viatu kweli Sasa sikia mkuu dhumuni la kuleta uzi ni kushare mawazo, lakini pia kukumbushana haya mambo yapo

Kwahyo mimi solution yangu kwake
1.ilikuwa ni aongee na watu wazima aghairi
Basi
Infact ukiwaita watahumiwa mmoja anaweza Ata kujiua kukwepa aibu you never know kwo lazima busara kubwa itumike
 
Rafiki yangu wa karibu sana, ametumiwa video ya ngono ya. Mke wake mtarajiwa na hii ni ya. Majuzi tu,

Sasa ubaya zaidi, mtu aliyekuwa akifanya nae mapenzi ni Rafiki yetu wa karibu! Sana pia, ina maana mwamba alikua akimzumnguka mshikaji wetu

Mpaka gharama zilizotumika
👉Mahari na mambo mengine ya kimila(mkoti babu, vitenge vya bibi, ujombani, mama wakubwa )
Jumla-3.5M
👉Ukumbi 1.5
👉Maandalizi mengine karibu 6M mapambo, kukodi magari, Muziki, MC booking, chakula na vinywaji, 👉suti na shela(1.2M)=jumla 10.2M

Sasa jamaa yetu yuko njia Panda kwa gharama ambazo kashatumia anaumia sana kuhairisha shughuli
👉Lakini kwa upande mwingine ili jambo limemuathiri sana

Je afanyaje? Siku ya sherehe ni wiki ijayo ijumaa?
Kataa ndoa Bro
 
Kama sio chai bhas Gharama kubwa ni yeye kukubali kufunga ndoa na huyo mwanamke sio pesa alizotumia...! Hata akaambiwa leo alipiwe kila kitu wafunge ndoa akataee.
 
Rafiki yangu wa karibu sana, ametumiwa video ya ngono ya. Mke wake mtarajiwa na hii ni ya. Majuzi tu,

Sasa ubaya zaidi, mtu aliyekuwa akifanya nae mapenzi ni Rafiki yetu wa karibu! Sana pia, ina maana mwamba alikua akimzumnguka mshikaji wetu

Mpaka gharama zilizotumika
👉Mahari na mambo mengine ya kimila(mkoti babu, vitenge vya bibi, ujombani, mama wakubwa )
Jumla-3.5M
👉Ukumbi 1.5
👉Maandalizi mengine karibu 6M mapambo, kukodi magari, Muziki, MC booking, chakula na vinywaji, 👉suti na shela(1.2M)=jumla 10.2M

Sasa jamaa yetu yuko njia Panda kwa gharama ambazo kashatumia anaumia sana kuhairisha shughuli
👉Lakini kwa upande mwingine ili jambo limemuathiri sana

Je afanyaje? Siku ya sherehe ni wiki ijayo ijumaa?
Ashukuru kupata Mke mwenye uzoefu wa KAZI.
 
He should call it quits !!! Unless he is thinking narrowly !!
 
Back
Top Bottom