Rafiki yangu anataka kuahirisha kuoa Baada ya kutumiwa video ya ngono ya mke wake mtarajiwa!

Faida yake ni nini kwamba n cv ambayo hakuiattach
Asiache kuoa andelee na process maana tayari huyo demu atakuwa na experience za kutosha kutoka kwa wanaume mbalimbali na rika mbalimbali.
 
Atoe vitisho kwa mwanamke kwamba asiporejesha hela yake atavujisha hiyo video kote.
 
Rafiki yangu wa karibu sana, ametumiwa video ya ngono ya. Mke wake mtarajiwa na hii ni ya. Majuzi tu,

Sasa ubaya zaidi, mtu aliyekuwa akifanya nae mapenzi ni Rafiki yetu wa karibu! Sana pia, ina maana mwamba alikua akimzumnguka mshikaji wetu

Mpaka gharama zilizotumika
👉Mahari na mambo mengine ya kimila(mkoti babu, vitenge vya bibi, ujombani, mama wakubwa )
Jumla-3.5M
👉Ukumbi 1.5
👉Maandalizi mengine karibu 6M mapambo, kukodi magari, Muziki, MC booking, chakula na vinywaji, 👉suti na shela(1.2M)=jumla 10.2M

Sasa jamaa yetu yuko njia Panda kwa gharama ambazo kashatumia anaumia sana kuhairisha shughuli
👉Lakini kwa upande mwingine ili jambo limemuathiri sana

Je afanyaje? Siku ya sherehe ni wiki ijayo ijumaa?
Aachane na sherehe aangalie namna nyingine ya kupata anaejielewa
 
Chai
 
Hapo atume mshenga akawaambie wazazi kuwa kijana ameahirisha kuoa kwa sababu fulani then utaratibu wa kurudishiwa chenji ufuate
Huu ndio ustaarabu amwambie mshenga wamalizane kistaarabu ni aibu ya muda ila yatapita tu
 
Achague hasara ya Milion 10M au achague hasara ya Kuishi na malaya maisha yake yote. Ni Rahisi sana Mkuu kuamua.

Polen sana Maumivu hayo ni makali sana
 
Rafiki yangu wa karibu sana, ametumiwa video ya ngono ya. Mke wake mtarajiwa na hii ni ya. Majuzi tu,

Sasa ubaya zaidi, mtu aliyekuwa akifanya nae mapenzi ni Rafiki yetu wa karibu! Sana pia, ina maana mwamba alikua akimzumnguka mshikaji wetu

Mpaka gharama zilizotumika
👉Mahari na mambo mengine ya kimila(mkoti babu, vitenge vya bibi, ujombani, mama wakubwa )
Jumla-3.5M
👉Ukumbi 1.5
👉Maandalizi mengine karibu 6M mapambo, kukodi magari, Muziki, MC booking, chakula na vinywaji, 👉suti na shela(1.2M)=jumla 10.2M

Sasa jamaa yetu yuko njia Panda kwa gharama ambazo kashatumia anaumia sana kuhairisha shughuli
👉Lakini kwa upande mwingine ili jambo limemuathiri sana

Je afanyaje? Siku ya sherehe ni wiki ijayo ijumaa?
Ni wewe mwenyewe'nini mkuu, unataka kutushake medula oblongata zetu?
Hasara roho oesa inatafutwa.
Huyi mwana wala asihairishe hilo jambo. Atulie kimya...mwanamke anabwagwa hadharani ili aibuki vizuri
Hilo nalo neno. Nimeona takribani mara tatu mtu kumbwaga mchumba siku ya harusi ama Altareni kabisa.
Yaani maandalizi yamefanyika kila kitu, ubwabwa, ukumbi na kadi za michango zimetembea kishenzi, halafu siku ya ndoa jamaa nd'oanasafiri kudadeki.
 
Ni wewe mwenyewe'nini mkuu, unataka kutushake medula oblongata zetu?

Hilo nalo neno. Nimeona takribani mara tatu mtu kumbwaga mchumba siku ya harusi ama Altareni kabisa.
Yaani maandalizi yamefanyika kila kitu, ubwabwa, ukumbi na kadi za michango zimetembea kishenzi, halafu siku ya ndoa jamaa nd'oanasafiri kudadeki.
Hapo ndio lakufanya....hamna kusitisha wala nini kila kitu kinaendelea last day wee huyoooo unaenda zako mamtoni.
Wakwe unawatumia video wajionee wenyewe walivyokuza mtoto wao
 
Back
Top Bottom