Kwahiyo unataka Kujenga kwenye kiwanja cha mtu?Habarini wana jf! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mm naish maeneo flani ya mji sasa ninarafiki yangu yupo vizuri kidogo kwa kuwa tuna urafiki wa muda mrefu rafiki yangu kwa kuon natesek na kodi anataka kunikatia kipande kidogo cha eneo lake ili ni jenge sasa swali langu je vitu gani muhimu vya kuzingatia kwenye makabidhiano ili isije kuleta changamoto hapo baadae kweny umiliki wangu na ninapo amua kujenga mana binadamu hawaeleweki( wanabadilika) na yeye ndio mwenye hatimiliki asanten.
Ni kweli binadamu hatueleweki, wewe mwenyewe unaweza kumgeuka ukasema eneo lote ni lako, upande mwingine ndugu zake baadaye nao wanaweza kukutimua wakidai nyumba ni ya ndugu yao.Habarini wana jf! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mm naish maeneo flani ya mji sasa ninarafiki yangu yupo vizuri kidogo kwa kuwa tuna urafiki wa muda mrefu rafiki yangu kwa kuon natesek na kodi anataka kunikatia kipande kidogo cha eneo lake ili ni jenge sasa swali langu je vitu gani muhimu vya kuzingatia kwenye makabidhiano ili isije kuleta changamoto hapo baadae kweny umiliki wangu na ninapo amua kujenga mana binadamu hawaeleweki( wanabadilika) na yeye ndio mwenye hatimiliki asanten.
Ushataja hatimilikiHabarini wana jf! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mm naish maeneo flani ya mji sasa ninarafiki yangu yupo vizuri kidogo kwa kuwa tuna urafiki wa muda mrefu rafiki yangu kwa kuon natesek na kodi anataka kunikatia kipande kidogo cha eneo lake ili ni jenge sasa swali langu je vitu gani muhimu vya kuzingatia kwenye makabidhiano ili isije kuleta changamoto hapo baadae kweny umiliki wangu na ninapo amua kujenga mana binadamu hawaeleweki( wanabadilika) na yeye ndio mwenye hatimiliki asanten.
Kwahiyo unataka Kujenga kwenye kiwanja cha mtu?
Andaa legal document ikionesha kuwa amekupatia sehemu ya Ardhi yake bure na ukubwa wake isainiwe na Wakili au hakimu na kugongwa muhuri wa Wakili au hakimu shughuri imeisha.
Ila ukitumia hakimu mahakamani ni bora zaidi mawakili wamekaa kipesapesa tu.mkuu kama ulikuwa hujui kimsingi hakimu haruhusiwi kushuhudia mikataba sababu ana conflict of interest. Embu jiulize umetokea mgogoro juu ya hiyo ardhi na umepelekwa mahakamani kwa hakimu aliyeshuhudia huo mkataba itakuaje. Nadhani jambo la mhimu kwa jamaa ni kwenda kwa wakili aandaliwe hati ya zawadi na katika kuandaa mkataba kama huyo jamaa anamke basi nae asaini kuridhia ardhi hiyo itolewe lasivyo baadae kunaweza kuibuka migogoro isiyo ya msingi
" VYA KUPEWA UVISHIBISHI UKIPEWA LAZIMA UKUMBUSHWE"Habarini wana jf! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mm naish maeneo flani ya mji sasa ninarafiki yangu yupo vizuri kidogo kwa kuwa tuna urafiki wa muda mrefu rafiki yangu kwa kuon natesek na kodi anataka kunikatia kipande kidogo cha eneo lake ili ni jenge sasa swali langu je vitu gani muhimu vya kuzingatia kwenye makabidhiano ili isije kuleta changamoto hapo baadae kweny umiliki wangu na ninapo amua kujenga mana binadamu hawaeleweki( wanabadilika) na yeye ndio mwenye hatimiliki asanten.
Dooooh..Kama una hela ya kujenga kanunue chako....utaliwa tako soon
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama una hela ya kujenga kanunue chako....utaliwa tako soon
Hii ni kweli kabisa. Nina ushuhuda kuna mtu aligawiwa kiwanja ili ajenge kwa kuhurumiwa tu. Kwa kuwa mmiliki wa kiwanja alikuwa mbali (nje ya DSM) baadaye aliyegawiwa sehemu ya Kiwanja akawa anafanya ujanja ili alimiliki eneo lote. Kwa bahati nzuri document za umiliki zilikuwa vizuri na zilimsaidia Mmiliki Halali wa Kiwanja hicho.Ni kweli binadamu hatueleweki, wewe mwenyewe unaweza kumgeuka ukasema eneo lote ni lako, upande mwingine ndugu zake baadaye nao wanaweza kukutimua wakidai nyumba ni ya ndugu yao.