Rafiki yangu anataka kunipa kiwanja

Ni bora, hata kama ikibidi usubiri ujipange kununua kiwanja chako.
 
Wewe ni jinsia gani na yeye ni jinsia gani?
 
Mwambie akuuzie kiwanja na sio kukupa bure
 
"Usipende vya bure vitakugharimu!"
 
Kuwa makini na rafiki yako, pengine anataka ujenge akunyang'anye nyumba!
 
Nahisi Itakuwa wewe ndiye ulimuomba akisaidie akupe sehemu ya eneo lake Ili ujenge, uondolane na kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…