Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni jinsia gani na yeye ni jinsia gani?Habarini wana JF!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mm naish maeneo flani ya mji sasa ninarafiki yangu yupo vizuri kidogo kwa kuwa tuna urafiki wa muda mrefu rafiki yangu kwa kuon natesek na kodi anataka kunikatia kipande kidogo cha eneo lake ili nijenge.
Sasa swali langu je, vitu gani muhimu vya kuzingatia kwenye makabidhiano ili isije kuleta changamoto hapo baadae kweny umiliki wangu na ninapo amua kujenga mana binadamu hawaeleweki( wanabadilika) na yeye ndio mwenye hatimiliki asanten.
Mwambie akuuzie kiwanja na sio kukupa bureHabarini wana JF!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mm naish maeneo flani ya mji sasa ninarafiki yangu yupo vizuri kidogo kwa kuwa tuna urafiki wa muda mrefu rafiki yangu kwa kuon natesek na kodi anataka kunikatia kipande kidogo cha eneo lake ili nijenge.
Sasa swali langu je, vitu gani muhimu vya kuzingatia kwenye makabidhiano ili isije kuleta changamoto hapo baadae kweny umiliki wangu na ninapo amua kujenga mana binadamu hawaeleweki( wanabadilika) na yeye ndio mwenye hatimiliki asanten.
"Usipende vya bure vitakugharimu!"Habarini wana JF!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mm naish maeneo flani ya mji sasa ninarafiki yangu yupo vizuri kidogo kwa kuwa tuna urafiki wa muda mrefu rafiki yangu kwa kuon natesek na kodi anataka kunikatia kipande kidogo cha eneo lake ili nijenge.
Sasa swali langu je, vitu gani muhimu vya kuzingatia kwenye makabidhiano ili isije kuleta changamoto hapo baadae kweny umiliki wangu na ninapo amua kujenga mana binadamu hawaeleweki( wanabadilika) na yeye ndio mwenye hatimiliki asanten.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Duuuhhh Jamani....Kama una hela ya kujenga kanunue chako....utaliwa tako soon
Kuwa makini na rafiki yako, pengine anataka ujenge akunyang'anye nyumba!Habarini wana JF!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mm naish maeneo flani ya mji sasa ninarafiki yangu yupo vizuri kidogo kwa kuwa tuna urafiki wa muda mrefu rafiki yangu kwa kuon natesek na kodi anataka kunikatia kipande kidogo cha eneo lake ili nijenge.
Sasa swali langu je, vitu gani muhimu vya kuzingatia kwenye makabidhiano ili isije kuleta changamoto hapo baadae kweny umiliki wangu na ninapo amua kujenga mana binadamu hawaeleweki( wanabadilika) na yeye ndio mwenye hatimiliki asanten.
Nahisi Itakuwa wewe ndiye ulimuomba akisaidie akupe sehemu ya eneo lake Ili ujenge, uondolane na kodiHabarini wana JF!