Rafiki yangu anayependa wanawake hatimaye apata Gono

Utajua wewe
 
Manesi wamefundishwa kufanya kazi kuhudumia mpaka majambazi wauaji bila kuwahukumu.

Hayo mambo ya gono madogo sana kwao.
 
Kwa ulivyoelezea vizuri umetisha, na itoshe kusema tu ni wewe ila umeamua kutoa kama reported speech. Pole mkuu ila piga AZUMA na maji mengi.
 
Ametoka hapa kwwenye pharmacy jirani sasa hivi
 
Gono ni ugonjwa ulio Very common kwa mazingira yetu. Shida ya ugonjwa huu ni wa aibu mno, ukivaa boxer inachafuka na ule usaha unaotoka bila breki, yaani ule usaha hauishi, ukienda kukojoa na huo unatoka pamoja na mkojo. Kama umeupata huko nje na incase kama umeoa ndo kimeo zaidi, na usipokuwa makini unamuambikiza mkeo.

Ukiogopa kwenda hospitali means utakaa na ugonjwa na itakuwa critical, sometimes kuzuia aibu wengine wanaweka tissue kuzungusha penis ili usaha usiguse boxer, very shame disease. Kwa wanawake ni harufu kali toka kwenye vaginal, wengine sasa wenye gono sugu hata harufu hawatoi, lakini ukisex naye tu utaanza kuona penis inawasha kwa ndani, early stages...

Ni salama sana ukikutana na demu mpya kutumia kinga condoms, very safe sex, otherwise kuacha kabisa ngono zembe.

Matumizi ya antibiotics ndio dawa sahihi za huu ugonjwa. Ukifika critical stages Basi lazima uchome sindano za siku 5 kwenye mishipa ya damu ya mkononi, zinaanza booster syringes 2 kwa mpigo, then every day unachoma moja for 5 days.

Ugonjwa huu unatibika na kwakuwa tumeumbwa kusahau, basi baada ya muda binadamu yuleyule anaanza tena ngono zembe πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Ndio maana tafiti zinasema gono ni ugonjwa unaanza kuzoeleka mtaani, kwa nchi nyingi hasa za ukanda huu wa chini ya jangwa la Sahara.

Fanya kila kitu lakini mwombe Mungu sana usipate ugonjwa wa kusinyaa kwa ini unaosababishwa na ngono zembe. It's fatal death disease. Mwambie mwanao aWahi hospital akatibiwe, aachane na ushauri wako wa hovyo kunywa kunywa dawa zisizoshauriwa na vipimo.
 
Aiseeee! Noma sana ngoja nikitulize limbo..lo langu maisha mengine yaendelee
 
Jamani ili gono limekuwa tishio kwa sasa nini sababu ya huu ugonjwa kusambaa kwa wingi kiasi hichi mana haiwezi kupita siku pasipo mtu kuleta mada ya gono
 
Kwahyo rafiki amekuomba msaada wewe umekuja kumsengenya Huku? Gono nacho nikitu Cha kumsema mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…