Rafiki yangu home boy majuu amebadilisha jinsia na kuwa wa kike

Rafiki yangu home boy majuu amebadilisha jinsia na kuwa wa kike

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Mwanangu mmoja wa kitambo sana wa mzizima ambaye tulisoma wote shule.ya msingi forodhani then Azania halafu tukakutana nae tena kibaha sekondari ameni Dm leo X ya kwamba amebadilisha jinsia kisa eti maisha magumu

Mwanangu long time ago alizamia south Afrika na now day yupo marekani kwahiyo ameniambia ameamua kubadilisha jinsia(transgender) ili aolewe na anasema maisha magumu ni source

Baada ya hapo nikamblock na nimefikisha hilo jambo kwa wazazi wake vijana acheni tamaa za kijinga
 
Mwanangu mmoja wa kitambo sana wa mzizima ambaye tulisoma wote shule.ya msingi forodhani then Azania halafu tukakutana nae tena kibaha sekondari ameni Dm leo X ya kwamba amebadilisha jinsia kisa eti maisha magum....
Oya school mate badili hilo jina lako la chawa tafadhali halitubariki sisi wanao

Alafu huyo muhuni mbona ametuangusha wana Azania ila kwa forodhani sikubali kabisa kama tulisoma na mbwa wa aina hiyo
 
Mwanangu mmoja wa kitambo sana wa mzizima ambaye tulisoma wote shule.ya msingi forodhani then Azania halafu tukakutana nae tena kibaha sekondari ameni Dm leo X ya kwamba amebadilisha jinsia kisa eti maisha magumu

Mwanangu long time ago alizamia south Afrika na now day yupo marekani kwahiyo ameniambia ameamua kubadilisha jinsia( transgender) ili aolewe na anasema maisha magumu ni source

Baada ya hapo nikamblock na nimefikisha hilo jambo kwa wazazi wake vijana acheni tamaa za kijinga
Na wewe ni shoga mwenzake?
 
Machawa wengi mjinii hubadili pia jinsia, maana kama ukiwa chawa unamsindikiza tajiri kwa mlupo/demu wake huku ukifika unabeba mkoba/pochi ya demu......yaani mwisho wa siku demu anaona niko na shost/shoga yake.
 
Back
Top Bottom