uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Mwanangu mmoja wa kitambo sana wa mzizima ambaye tulisoma wote shule.ya msingi forodhani then Azania halafu tukakutana nae tena kibaha sekondari ameni Dm leo X ya kwamba amebadilisha jinsia kisa eti maisha magumu
Mwanangu long time ago alizamia south Afrika na now day yupo marekani kwahiyo ameniambia ameamua kubadilisha jinsia(transgender) ili aolewe na anasema maisha magumu ni source
Baada ya hapo nikamblock na nimefikisha hilo jambo kwa wazazi wake vijana acheni tamaa za kijinga
Umemblokia nini? Ni either chai au wewe ni mpumbavu wa kutupa, hatugombani na watu kwa sababu za uchaguzi wa namna wanavyotaka kuishi.