Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
tukakutana nae tena kibaha sekondari
Nawewe jiandae, chuma zianze kuingia YARDMwanangu mmoja wa kitambo sana wa mzizima ambaye tulisoma wote shule.ya msingi forodhani then Azania halafu tukakutana nae tena kibaha sekondari ameni Dm leo X ya kwamba amebadilisha jinsia kisa eti maisha magumu...
Oya school mate badili hilo jina lako la chawa tafadhali halitubariki sisi wanaoMwanangu mmoja wa kitambo sana wa mzizima ambaye tulisoma wote shule.ya msingi forodhani then Azania halafu tukakutana nae tena kibaha sekondari ameni Dm leo X ya kwamba amebadilisha jinsia kisa eti maisha magum....
Na wewe ni shoga mwenzake?Mwanangu mmoja wa kitambo sana wa mzizima ambaye tulisoma wote shule.ya msingi forodhani then Azania halafu tukakutana nae tena kibaha sekondari ameni Dm leo X ya kwamba amebadilisha jinsia kisa eti maisha magumu
Mwanangu long time ago alizamia south Afrika na now day yupo marekani kwahiyo ameniambia ameamua kubadilisha jinsia( transgender) ili aolewe na anasema maisha magumu ni source
Baada ya hapo nikamblock na nimefikisha hilo jambo kwa wazazi wake vijana acheni tamaa za kijinga
Kuna meseji anaituma, kisha kwambia maisha magumu, ataruka ruka siku ya siku atajitangazaendelea tu kutunga chai, siku unajikanyaga watu watarejea nyuzi za zamani
Zinaanza LC🤣🤣🤣Nawewe jiandae, chuma zianze kuingia YARD
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Nawewe jiandae, chuma zianze kuingia YARD