Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Baba Levo pamoja na awali kuvunja haki ya faragha ya mdada yule, hakupaswa kwenda kushare kwenye mitandao ya kijamii. Hapo ndio unaona umuhimu wa busara.Hii nchi we acha tu watu wanajifanyia mambo tu.
Babalevo (MB) ali post tukio la nyumbani kwake linaloonesha dada wa kazi ana m-mistreat mtoto . How did they find out? ni kwasababu walifunga camera chumbani kwa dada.
Kila mtu alicomment chake ila hakuna aliyecomment kwenye suala la kamera kufungwa chumbani, and they got away with that!
Kumbe uliona hili eeeh?Hii nchi we acha tu watu wanajifanyia mambo tu.
Babalevo (MB) ali post tukio la nyumbani kwake linaloonesha dada wa kazi ana m-mistreat mtoto . How did they find out? ni kwasababu walifunga camera chumbani kwa dada.
Kila mtu alicomment chake ila hakuna aliyecomment kwenye suala la kamera kufungwa chumbani, and they got away with that!
Wabongo hawaelewi hiki kitu kabisaa.Jambo lisiloeleweka na wengi ni kwamba, ulinzi wa camera unapaswa kuwa maeneo ya wazi kama (sebuleni, getini, nje ya nyumba) na si sehemu za faragha kama chumba cha kulala au changing room.
Haswaaa!!Rafiki yako azingatie ya kwamba maisha ya faragha ya mtu yana husiana sana na usalama wa taarifa zake binafsi.
Taarifa za kibinafsi zinahitaji kulindwa ili kuhakikisha faragha ya mtu.
Uvujaji wa taarifa za kibinafsi unaweza kusababisha matokeo mabaya kama vile uharibifu wa sifa ama ukiukaji wa faragha ya muhusika
Kwa hiyo, endapo kutakuwa uvujaji wa "footage" na kuwafikia watu wengine atajikuta katika matata ya kisheria, ikiwamo kulimlipa muathirika fedha nyingi.
Your friend is a fool. That is a violation of the Personal Data Protection Act, 2022 (PDPA). Tell him to stop the nonsense immediately.Nina rafiki ninayefanya naye kazi, sasa kutokana na ubize wa kazi pamoja na mkewe, waliamua kufunga kamera kwenye nyumba yao ili waweze kujua kinachoendelea wanapokuwa nje ya nyumba.
Nyumba yao ni ya vyumba vitatu, ambapo kimoja anatumia msaidizi wa kazi za ndani ambaye pia analala na mtoto wao mwenye miaka mitatu, na anasema lengo la kufunga ni kwa ajili ya ulinzi wa binti yao huyo.
Binafsi nimemwambia kuwa anazingua kwani kufanya hivyo ni kuvunja faragha ya dada. Nimemuuliza endapo na yeye angekuwa huru kubadili nguo na kulala chumba ambacho anajua kina kamera za ufuatiliaji, akajibu hapana.
Nimemueleza kuweka kamera za ufuatiliaji kwenye chumba cha mfanyakazi wa ndani ni suala nyeti la kisheria na kimaadili, ingawa ana haki kulinda bintiye na mali zao, lakini kufunga kamera mahali pa faragha kama chumba cha kulala au choo ni ukiukaji wa haki za faragha.
Ni bora zaidi kuweka kamera katika maeneo ya wazi ya nyumba ili kuhakikisha usalama wa watoto na mali bila kuingilia faragha ya mfanyakazi wa ndani.
Pia soma Kamera (CCTV Camera) ndani vyumba vya kujaribishia nguo ktk duka la Mr. Price, ni sahihi?
Wengi ni wajuaji wakati kichwani ni emptyJambo lisiloeleweka na wengi ni kwamba, ulinzi wa camera unapaswa kuwa maeneo ya wazi kama (sebuleni, getini, nje ya nyumba) na si sehemu za faragha kama chumba cha kulala au changing room.
Yah kumbe umekumbuka eenhe!Kumbe uliona hili eeeh?
Nakumbuka vizuri sanaaYah kumbe umekumbuka eenhe!
Hio nyimba yake ni BBA au?Ni bora zaidi kuweka kamera katika maeneo ya wazi ya nyumba ili kuhakikisha usalama wa watoto na mali bila kuingilia faragha ya mfanyakazi wa ndani.
Hizo namba zenye sifuri nyingi wengi sasa hivi wangekua na ukwasi wa kutosha km wangezingatiaYour friend is a fool. That is a violation of the Personal Data Protection Act, 2022 (PDPA). Tell him to stop the nonsense immediately.
Violations of the PDPA can lead to significant penalties, including fines of up to TZS 20,000,000 for individuals or TZS 5,000,000,000 for corporations, and potential imprisonment!
Watanzania ni wajamaa sana. Western countries ni mwendo wa kutafuta excuse ya kudai fidia tu.Hizo namba zenye sifuri nyingi wengi sasa hivi wangekua na ukwasi wa kutosha km wangezingatia
Stuck between a rock and a hard place. Unajua mtoto anakuwa abused ila ushahidi huna. Imefunga camera maeneo ya jumuia ila vyumbani hakuna camera. Unahisi dada akitaka kumfinya mtoto anaenda nae chumbani. Utafanya nini na sheria hairuhusu. *** the law for few days nijue ukweli. Ni vibaya ila sina namna.Hii nchi we acha tu watu wanajifanyia mambo tu.
Babalevo (MB) ali post tukio la nyumbani kwake linaloonesha dada wa kazi ana m-mistreat mtoto . How did they find out? ni kwasababu walifunga camera chumbani kwa dada.
Kila mtu alicomment chake ila hakuna aliyecomment kwenye suala la kamera kufungwa chumbani, and they got away with that!