Kama wazazi, Kuna makosa hatusubiri kupata ushahidi…. ukipata ushahidi kuwa mtoto anakuwa abused then what!Stuck between a rock and a hard place. Unajua mtoto anakuwa abused ila ushahidi huna. Imefunga camera maeneo ya jumuia ila vyumbani hakuna camera. Unahisi dada akitaka kumfinya mtoto anaenda nae chumbani. Utafanya nini na sheria hairuhusu. *** the law for few days nijue ukweli. Ni vibaya ila sina namna.