Rafiki yangu kafunga CCTV Camera chumba cha msaidizi wa kazi, nimemwambia anakosea

Ufaransa kuweka camera tu nje ya nyumba yako mwenyewe is strictly prohibited bcz wanalinda faragha hata ya yule mpita njia kma akiamua kupita heywa heywa kwao ni sawa na hapaswi kurekodiwa
 
Kama wazazi, Kuna makosa hatusubiri kupata ushahidi…. ukipata ushahidi kuwa mtoto anakuwa abused then what!

Kama tu kuna dalili za abuse or mistreatment yoyote it’s your family ina rules zake, binafsi immediately ningesitisha kazi ya dada.

Hata nikisema nisubiri kupata ushahidi nakua sijamlinda mtoto. Kanuni za safeguarding kwa masuala ya watoto zinaruhusu kureport/kufanyia kazi dalili lengo likiwa kuzuia madhara yasitokee, Sote tunafahamu camera haizuii madhara yasitokee.
 
Mimi sielewi wazazi wanaacha watoto walale na wadada wa kazi. Amina tulikuwa kila mtu ana chumba chake na hata wakati mwingine kwenda kwa wazazi kudeka kulala nao

Sasa iweje mtu mtoto miaka mitatu, unalala na mkeo chumba kingine usingizi gani haswaaa.... na mdada wa kazi ndio alale na mtoto wako ambaye unamkosesha ukaribu wa kuwa nawe mzazi!!!!

Mtoto analala na Dada anashinda na Dada.. Inasikitisha maana ukaribu wa mtoto na wazazi lazima uondoke polepole

Kama kuduana hapo si mipango tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…