Kha!,kha!kha!Huwa una marafiki wa kutisha sana. Mara rafiki jambazi, mara rafiki Ninja, etc
Hata nyumbani wananiiliza hawa marafiki huwa nawatoaga wap nabaki tu kucheka, basi tu huwa inatokeaga
Sio waovu mkuu, huyo jambazi nilikuja kugundua kuwa linaibaga hadi bank nikaona bora kupiga nyama chini huyo simuwezi.Kwanini unaendelea kuwa nao unapogundua kama ni watu waovu? 😳
Sio waovu mkuu, huyo jambazi nilikuja kugundua kuwa linaibaga hadi bank nikaona bora kupiga nyama chini huyo simuwez,
Badae nikaja kakutana na sauti ya zege, Ninja, paka shume na wengine wengi tu, basi sasa nifanyeje