Rafiki yangu kalala kituoni siku mbili kwa kosa la kumpiga mumewe na kumvunja mkono

Rafiki yangu kalala kituoni siku mbili kwa kosa la kumpiga mumewe na kumvunja mkono

Hapo juu si nimesema Nipo safarini, hiyo picha naipata Vip sasa
Waambie siyo tukio ni la kuposti picha. Hakuna mtu anyeweza kuambatanisha picha ya rafiki yake kwenye posti kama hii. BTW Wanaume wa kisukuma wana mfumo dume mkali sana na wanakuwa wana ukoloni fulani kwa wake zao imekuwaje huyo yuko tofauti? Ukishaona ndoa ina ugomvi na kupigana mara kwa mara basi lolote, hata kifo linaweza kutokea muda wowte.

Yanikuta siku moja bila kutegemea kabisa. Kabla sijaoa nilikuwa naapa siwezi kupigana au kumpiga mke wangu lakini nikajajikuta siyo napigana naye tu ila tunadundana katikatika ya barabara mchana kweupe na kidogo kabisa gari litumalize wote. Toka siku hiyo nikamwambia tuachane kwa usalama!
 
Ameshindwa hata kumvizia usiku amelala afanye mapinduzi
 
Waambie siyo tukio ni la kuposti picha. Hakuna mtu anyeweza kuambatanisha picha ya rafiki yake kwenye posti kama hii. BTW Wanaume wa kisukuma wana mfumo dume mkali sana na wanakuwa wana ukoloni fulani kwa wake zao imekuwaje huyo yuko tofauti? Ukishaona ndoa ina ugomvi na kupigana mara kwa mara basi lolote, hata kifo linaweza kutokea muda wowte....
Hata wewe huwa nakuona mtata na usiyependa kushindwa.

Yesu aliwauliza wanafunzi wake kuwa " watu wananijua mimi ni nani?"

Hapa alitaka kujua kuwa mwenendo na usemi wake watu huwa wanautafsirije?

Laiti tungezijua tabia zetu ingekua ni rahisi kutokuwaudhi wenza wetu na maisha yangekuwa poa sana

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Nawachukia wanawake na wanaume wanaovumilia mahusiano ya mateso. Sasa huyo kijana si afanye maamuzi ya kiume kama hawezi pigana achane na hayo mahusiano.
 
Hata wewe huwa nakuona mtata na usiyependa kushindwa.
Yesu aliwauliza wanafunzi wake kuwa " watu wananijua mimi ni nani?"
Hapa alitaka kujua kuwa mwenendo na usemi wake watu huwa wanautafsirije?

Laiti tungezijua tabia zetu ingekua ni rahisi kutokuwaudhi wenza wetu na maisha yangekuwa poa sana

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Umezungumza vyema mkuu
 
Wakuu, marafiki wengine sio kabisa huyo ni shost yangu wa ukweli tangu muda tu, ila mi nimeshindwa tabia yake ya kipigo japo ni mtafutaji mzuri sana kwa kweli...
Kama naota ndoto ya kutisha vile[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom