Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Kuna wanawake wababe sana Arusha, bangi na pombe kali kwa sana. Katika makundi yao ni kujazana upepo kuwa mwanaume hapaswi kukohoaMarafiki wababe mara jambazi, mara paka shume, mara ninja basi ilimradi tu ubabe
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app