Rafiki yangu kalala kituoni siku mbili kwa kosa la kumpiga mumewe na kumvunja mkono

Rafiki yangu kalala kituoni siku mbili kwa kosa la kumpiga mumewe na kumvunja mkono

Chama Cha Wanaume Tanzania ni dhaifu. Mnayaona mwananchama wenu anavunjwa viungo mmekaa kimya tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mwanaume inaonekana alipenda weupe wa kaskazini acha adundwe na atadundwa sana.

Mpaka nimekumbuka clip fulani jamaa alikuwa anamkanya kijana wake kuwa asimletee mparestina kwake.​
[emoji23] [emoji16] [emoji23] wapalestina ndo kina nani hao mkuu?
 
Story za kitoto kila siku. Mara una rafiki jambazi, mara changudoa, mara mchawi, mara mnyonya damu....unaona sisi wote humu ni vilaza kama wewe
 
Ila bushmamy daaah au tuseme ww mnyonge saan nn maa kila daily unapiga rafiki chini kisa jambazi leo umepata rafiki bondia anamdunda mumewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. So funny
Sijajua ni swaga au ni hivi Vikao vyetu tunavyokutanaga maana hatunaga ratiba ni nafasi yako
 
Sio waovu mkuu, huyo jambazi nilikuja kugundua kuwa linaibaga hadi bank nikaona bora kupiga nyama chini huyo simuwezi.

Badae nikaja kakutana na sauti ya zege, Ninja, paka shume na wengine wengi tu, basi sasa nifanyeje

Naweza pata namba ya huyo ''paka shume'' kama hutojali?
 
Wakuu, marafiki wengine sio kabisa huyo ni shost yangu wa ukweli tangu muda tu, ila mi nimeshindwa tabia yake ya kipigo japo ni mtafutaji mzuri sana kwa kweli.

Mimi nipo safarini kwa sasa nikapata meseji kutoka Kwa rafiki yangu mmoja kuwa 'una habari Ninja yupo kituoni siku mbili sasa' nikamwambia Hapana kwa kweli. Nikauliza kisa naambiwa alimpiga tena mumewe maana ni kawaida yake huyo baba kupata kipondo Kutoka kwa ninja.

Watu wamekataa kwenda kumuwekea mdhamana, sasa huko baadhi ya watu wamenipigia wanasemaa ninja anaomba sana jembe Lake nipigiwe (yani mimi) nirudi nikamuwekee mdhamana.

Huyo baba ni mpole mno na ni Msukuma lakini Ninja yeye ni mchaga.

Mimi namuonea huruma huyo mkaka wa watu maana anasema anaogopa mwanamke akitoka huko atakuja kumuua.

Nishaurini nikamuwekee au niuchune mimi.
2457376_JamiiForums-621070314.jpg
 
Huyo rafiki yako ni tembo, na sio mke. Tunaambiwa tembo ana nguvu Sana pia ni mnyama mwenye akili saaaaaaaaaaana.
 
Back
Top Bottom