Rafiki yangu kalala kituoni siku mbili kwa kosa la kumpiga mumewe na kumvunja mkono

Wakuu, marafiki wengine sio kabisa huyo ni shost yangu wa ukweli tangu muda tu, ila mi nimeshindwa tabia yake ya kipigo japo ni mtafutaji mzuri sana kwa kweli.

Mimi nipo safarini kwa sasa nikapata meseji kutoka Kwa rafiki yangu mmoja kuwa 'una habari Ninja yupo kituoni siku mbili sasa' nikamwambia Hapana kwa kweli. Nikauliza kisa naambiwa alimpiga tena mumewe maana ni kawaida yake huyo baba kupata kipondo Kutoka kwa ninja.

Watu wamekataa kwenda kumuwekea mdhamana, sasa huko baadhi ya watu wamenipigia wanasemaa ninja anaomba sana jembe Lake nipigiwe (yani mimi) nirudi nikamuwekee mdhamana.

Huyo baba ni mpole mno na ni Msukuma lakini Ninja yeye ni mchaga.

Mimi namuonea huruma huyo mkaka wa watu maana anasema anaogopa mwanamke akitoka huko atakuja kumuua.

Nishaurini nikamuwekee au niuchune mimi.
Halafu vijana wa kiume wakikataa kuoa mtawasakama hawataki kuoa?
 
Ndio sababu wasukuma wanawaogopa wachaga.

Huyu kavunjwa mkono, mwenzie alisukumwa akaangukia kuzimu.
 
Wakuu, marafiki wengine sio kabisa huyo ni shost yangu wa ukweli tangu muda tu, ila mi nimeshindwa tabia yake ya kipigo japo ni mtafutaji mzuri sana kwa kweli.

Mimi nipo safarini kwa sasa nikapata meseji kutoka Kwa rafiki yangu mmoja kuwa 'una habari Ninja yupo kituoni siku mbili sasa' nikamwambia Hapana kwa kweli. Nikauliza kisa naambiwa alimpiga tena mumewe maana ni kawaida yake huyo baba kupata kipondo Kutoka kwa ninja.

Watu wamekataa kwenda kumuwekea mdhamana, sasa huko baadhi ya watu wamenipigia wanasemaa ninja anaomba sana jembe Lake nipigiwe (yani mimi) nirudi nikamuwekee mdhamana.

Huyo baba ni mpole mno na ni Msukuma lakini Ninja yeye ni mchaga.

Mimi namuonea huruma huyo mkaka wa watu maana anasema anaogopa mwanamke akitoka huko atakuja kumuua.

Nishaurini nikamuwekee au niuchune mimi.
Bora ninja aende segerea kwanza akitoka akili itamtulia
 
Sory hao wanandoa ni wakazi wa dar? Na mwanaume ni wale wanaume wa dar?
 
Huyo mwanaume ni Zuchu tu.. utapigwaje na mwanamke bana [emoji23][emoji23]
 
Usiende kumtoa.

Mchukue wewe huyo mbaba, awe mumeo, muhame mkoa kabisa muende mkoa wa mbali huko tena wilaya ya ndani ndani, mkayaanze maisha ya mke na mume.
Naunga mkono hoja[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
You are right Glenn, though kuna wengine wapo very decent and well behaved, sema wa arusha wengi wana hulka za kigang sijajua shida inaanzia wapi
Shida inaanzia mpakani

Angalia arusha inapakana na nchi gani, halafu fatilia wanawake wa hiyo nchi, refer lucy kibaki yiley mbibi ilikuwa full kipondo kwa yeyote anayezingua
 
Back
Top Bottom