Rafiki yangu kambambikia mumewe watoto

Rafiki yangu kambambikia mumewe watoto

Jamani habarini, nina rafiki yangu ana mume wake wana hela tu, wana watoto wanne, katika hao wanne , wa mumewe ni mmoja tu na siri hio naijua mimi na yeye tu uyo shoga yangu.

Ameshachuma na kumchuna vya kutosha na sasa anataka kuanza visa ili apewe tu talaka, anamtusi mbele za watoto, na mambo mengi.

Sasa kaniomba uahauri na mimi nikaona nilete umu JF ili nipate cha kumnusuru shoga yangu, kiukweli kwa suala la huyu mme wake, ni mkaka mstaarabu tu na mkimya.

Anataka nimshauri kama amuambie mumewe au akaushe tu kwani mumewe anataka kubaki na watoto na ajui kuwa wa3 sio wake.

Halafu kingine huyu rafiki angu hamueshimu mumewe, ananionesha video zake yeye na mumewe wakifanya mapenzi na kumkejeli kua ana kibamia,,yapo mengi tu ila siwezi andika yote

Naleta kwenu ili!

Madhara ya kumtongoza mwanamke sijui miaka unamkomaliaga tu ndio hayo sasa. Li mtu halikupendi ila kwa sababu ya huruma na sio upendo anaamua kukubalia. Ndio hayo.

Kwa uzoefu, nikimfukuzia mwanamke miaka miwili ninachokifanya baada ya yeye kukubali ni KUMLA na kumuacha solemba.

Kwa sababu ninachojua kuwa alichokibali kwangu ni huruma ambapo mimi sitaki kuhurumiwa nahitaji kupendwa.
 
Jamani habarini, nina rafiki yangu ana mume wake wana hela tu, wana watoto wanne, katika hao wanne , wa mumewe ni mmoja tu na siri hio naijua mimi na yeye tu uyo shoga yangu.

Ameshachuma na kumchuna vya kutosha na sasa anataka kuanza visa ili apewe tu talaka, anamtusi mbele za watoto, na mambo mengi.

Sasa kaniomba ushauri na mimi nikaona nilete humu JF ili nipate cha kumnusuru shoga yangu, kiukweli kwa suala la huyu mme wake, ni mkaka mstaarabu tu na mkimya.

Anataka nimshauri kama amuambie mumewe au akaushe tu kwani mumewe anataka kubaki na watoto na hajui kuwa watatu sio wake.

Halafu kingine huyu rafiki angu hamueshimu mumewe, ananionesha video zake yeye na mumewe wakifanya mapenzi na kumkejeli kuwa ana kibamia, yapo mengi tu ila siwezi andika yote

Naleta kwenu ili.
Ndege wafananao huruka pamoja,umenierewa
 
Mimi nakushauri kitu tafuta cm ya mtu mtumie msg kama raia mwema huyo mwanaume mwambie watoto namba 1 mpaka 3 sio wake akapime DNA.
 
Akiamua kujiua baada ya kugundua watoto 3 sio wake,wewe utakuwa ni chanzo namba 1 cha kifo chake...
 
Jamani habarini, nina rafiki yangu ana mume wake wana hela tu, wana watoto wanne, katika hao wanne , wa mumewe ni mmoja tu na siri hio naijua mimi na yeye tu uyo shoga yangu.

Ameshachuma na kumchuna vya kutosha na sasa anataka kuanza visa ili apewe tu talaka, anamtusi mbele za watoto, na mambo mengi.

Sasa kaniomba ushauri na mimi nikaona nilete humu JF ili nipate cha kumnusuru shoga yangu, kiukweli kwa suala la huyu mme wake, ni mkaka mstaarabu tu na mkimya.

Anataka nimshauri kama amuambie mumewe au akaushe tu kwani mumewe anataka kubaki na watoto na hajui kuwa watatu sio wake.

Halafu kingine huyu rafiki angu hamueshimu mumewe, ananionesha video zake yeye na mumewe wakifanya mapenzi na kumkejeli kuwa ana kibamia, yapo mengi tu ila siwezi andika yote

Naleta kwenu ili.
Afadhali umenifumbua kumbe watatu sio wa kwangu
 
Back
Top Bottom