Rafiki yangu kambambikia mumewe watoto

Rafiki yangu kambambikia mumewe watoto

Wana umri gani hao watoto? Ndoa ina muda gani? Shoga yako ana umri gani? MUmewe ana umri gani?
 
Mpe penzi shemeji yako ili akuoe wewe,halafu mwambie huyo mumeo kuwa watoto wake na huyo mke wake wa zamani sio wake.
Nalog off
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] masikini mwanaume wa watu!!!!!!!!!
 
Jamani habarini, nina rafiki yangu ana mume wake wana hela tu, wana watoto wanne, katika hao wanne , wa mumewe ni mmoja tu na siri hio naijua mimi na yeye tu uyo shoga yangu.

Ameshachuma na kumchuna vya kutosha na sasa anataka kuanza visa ili apewe tu talaka, anamtusi mbele za watoto, na mambo mengi.

Sasa kaniomba ushauri na mimi nikaona nilete humu JF ili nipate cha kumnusuru shoga yangu, kiukweli kwa suala la huyu mme wake, ni mkaka mstaarabu tu na mkimya.

Anataka nimshauri kama amuambie mumewe au akaushe tu kwani mumewe anataka kubaki na watoto na hajui kuwa watatu sio wake.

Halafu kingine huyu rafiki angu hamueshimu mumewe, ananionesha video zake yeye na mumewe wakifanya mapenzi na kumkejeli kuwa ana kibamia, yapo mengi tu ila siwezi andika yote

Naleta kwenu ili.
Daah
 
Nawaitaga wanawaka!Ushauri wangu.Joka jeusi unaitwa na dada yako huku aliyeolewa bila bikra anataka kuachika!Pliz huu ni wito wangu wa mwisho kwako usipokuja tuisilaumiane
 
Jamani habarini, nina rafiki yangu ana mume wake wana hela tu, wana watoto wanne, katika hao wanne , wa mumewe ni mmoja tu na siri hio naijua mimi na yeye tu uyo shoga yangu.

Ameshachuma na kumchuna vya kutosha na sasa anataka kuanza visa ili apewe tu talaka, anamtusi mbele za watoto, na mambo mengi.

Sasa kaniomba ushauri na mimi nikaona nilete humu JF ili nipate cha kumnusuru shoga yangu, kiukweli kwa suala la huyu mme wake, ni mkaka mstaarabu tu na mkimya.

Anataka nimshauri kama amuambie mumewe au akaushe tu kwani mumewe anataka kubaki na watoto na hajui kuwa watatu sio wake.

Halafu kingine huyu rafiki angu hamueshimu mumewe, ananionesha video zake yeye na mumewe wakifanya mapenzi na kumkejeli kuwa ana kibamia, yapo mengi tu ila siwezi andika yote

Naleta kwenu ili.
Mkiolewa shida msipoolewa shida

IMG-20211005-WA0159.jpg
 
Pampula tulia dawa iingie. Usiende tu kuanza kukagua vidole na chogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha wachaga hatukataagi watoto...sisi tunapeleka shule tu hahaha wanatuinua sana uzeenii
 
Mwambie achane tu mkekha halafu weee uingie mzighoni ama vepe..
 
Naanza kuamini ya kwamba yule Nyoka kule Eden alipigwa tukio tu na kuuziwa msala.
 
Jamani habarini, nina rafiki yangu ana mume wake wana hela tu, wana watoto wanne, katika hao wanne , wa mumewe ni mmoja tu na siri hio naijua mimi na yeye tu uyo shoga yangu.

Ameshachuma na kumchuna vya kutosha na sasa anataka kuanza visa ili apewe tu talaka, anamtusi mbele za watoto, na mambo mengi.

Sasa kaniomba ushauri na mimi nikaona nilete humu JF ili nipate cha kumnusuru shoga yangu, kiukweli kwa suala la huyu mme wake, ni mkaka mstaarabu tu na mkimya.

Anataka nimshauri kama amuambie mumewe au akaushe tu kwani mumewe anataka kubaki na watoto na hajui kuwa watatu sio wake.

Halafu kingine huyu rafiki angu hamueshimu mumewe, ananionesha video zake yeye na mumewe wakifanya mapenzi na kumkejeli kuwa ana kibamia, yapo mengi tu ila siwezi andika yote

Naleta kwenu ili.
Mtume Paulo alishawaambia kuwa kama mnaweza msioe ila na ubishi wenu mnalazimisha kuoa mwiisho wa siku mnakutana na mAmbo ya ajabu ajabu
 
HHe
Jamani habarini, nina rafiki yangu ana mume wake wana hela tu, wana watoto wanne, katika hao wanne , wa mumewe ni mmoja tu na siri hio naijua mimi na yeye tu uyo shoga yangu.

Ameshachuma na kumchuna vya kutosha na sasa anataka kuanza visa ili apewe tu talaka, anamtusi mbele za watoto, na mambo mengi.

Sasa kaniomba ushauri na mimi nikaona nilete humu JF ili nipate cha kumnusuru shoga yangu, kiukweli kwa suala la huyu mme wake, ni mkaka mstaarabu tu na mkimya.

Anataka nimshauri kama amuambie mumewe au akaushe tu kwani mumewe anataka kubaki na watoto na hajui kuwa watatu sio wake.

Halafu kingine huyu rafiki angu hamueshimu mumewe, ananionesha video zake yeye na mumewe wakifanya mapenzi na kumkejeli kuwa ana kibamia, yapo mengi tu ila siwezi andika yote

Naleta kwenu ili.
Hello

Naomba nideclare interest mimi sio mwanasheria hivyo mawazo y yasipimwe kama mawazo ya kisheria.

Jambo la. Kwanza
Anapaswa kufahamu akivunja Ndoa na akimuambia watoto sio wake jamaa atataka kupitia DNA
Na endapo itathibitika watoto sio wajamaa mwanamke huyo hatopata kituu kwani mahakama itaamua kufunga ndoa kwa kuangalia Lengo la ndoo.

Hivyo kama huyo rafiki yako anataka ndoa ivunjwe Avune mshauri atakosa yote.

Pili kama mtoto ni mmoja tuu amezaa na mume wake jamaa wanaweza kuomba Mtoto baki naye na kaomba kwa kusema mali ni za mtoto na wale ambao amewalea kwa sababu sio wake amewanyonya kwa kututoa gharama kubwa kuwahudumi na kuomba mahakama faida

Mwisho mshauri atumie

Mimi sio mwanasheria na sina utaalamu wowote wa kisheria.
 
Back
Top Bottom