Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Wakati wa kumbambikia hao watoto mbona hukuja kuomba ushauri huku??nyie wote ndo walewale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake wana olewa kwa sababu ya shida[emoji848]
Madhara ya kumtongoza mwanamke sijui miaka unamkomaliaga tu ndio hayo sasa. Li mtu halikupendi ila kwa sababu ya huruma na sio upendo anaamua kukubalia. Ndio hayo.
Kwa uzoefu, nikimfukuzia mwanamke miaka miwili ninachokifanya baada ya yeye kukubali ni KUMLA na kumuacha solemba.
Kwa sababu ninachojua kuwa alichokibali kwangu ni huruma ambapo mimi sitaki kuhurumiwa nahitaji kupendwa.
Anatakiwa kutongozwa kwa mda ganMadhara ya kumtongoza mwanamke kwa miezi 8 hadi miaka miwili, ndo haya Dinazarde Mzigua90 Evelyn Salt
Kama uko sahihi hivi
Mshauri amwambie tu ili jamaa aamue mwenyewe. Watu wana tabia za kishetani kabisa!Jamani habarini, nina rafiki yangu ana mume wake wana hela tu, wana watoto wanne, katika hao wanne , wa mumewe ni mmoja tu na siri hio naijua mimi na yeye tu uyo shoga yangu.
Ameshachuma na kumchuna vya kutosha na sasa anataka kuanza visa ili apewe tu talaka, anamtusi mbele za watoto, na mambo mengi.
Sasa kaniomba ushauri na mimi nikaona nilete humu JF ili nipate cha kumnusuru shoga yangu, kiukweli kwa suala la huyu mme wake, ni mkaka mstaarabu tu na mkimya.
Anataka nimshauri kama amuambie mumewe au akaushe tu kwani mumewe anataka kubaki na watoto na hajui kuwa watatu sio wake.
Halafu kingine huyu rafiki angu hamueshimu mumewe, ananionesha video zake yeye na mumewe wakifanya mapenzi na kumkejeli kuwa ana kibamia, yapo mengi tu ila siwezi andika yote
Naleta kwenu ili.
Kweli vileAaaah unazingua mzigua
"Shika Jembe Ukalime" kwani huyajui ya mbeleni (maana huwa kama hamjielewi). Uamuzi ni wake yeye.Jamani habarini, nina rafiki yangu ana mume wake wana hela tu, wana watoto wanne, katika hao wanne , wa mumewe ni mmoja tu na siri hio naijua mimi na yeye tu uyo shoga yangu.
Ameshachuma na kumchuna vya kutosha na sasa anataka kuanza visa ili apewe tu talaka, anamtusi mbele za watoto, na mambo mengi.
Sasa kaniomba ushauri na mimi nikaona nilete humu JF ili nipate cha kumnusuru shoga yangu, kiukweli kwa suala la huyu mme wake, ni mkaka mstaarabu tu na mkimya.
Anataka nimshauri kama amuambie mumewe au akaushe tu kwani mumewe anataka kubaki na watoto na hajui kuwa watatu sio wake.
Halafu kingine huyu rafiki angu hamueshimu mumewe, ananionesha video zake yeye na mumewe wakifanya mapenzi na kumkejeli kuwa ana kibamia, yapo mengi tu ila siwezi andika yote
Naleta kwenu ili.
Hapo pa kuonyeshana mambile ya mume ndo nimeunia zaidi. What a shamelesa society. Hivi siku hizi ile Elimu watu wanagundwa ilishaisha? Ama haizongatiqu tena?Hao wanafanana akili wote yeye na huyo shoga ake. Kwanza jiulize walikuwa wanaongelea kitu gani had kufikia hatua ya kianza kuoneshwa picha za mtu na mme wake wakiwa faragha na hivyo vibamia?
Elimu hipi hyo!?? Hii ya sahiv ya makungwi walioshindwa na ndoa zao na yakutazama porn unategemea ije iwakomboe? Ama ya kitchen part ya siku moja?Hapo pa kuonyeshana mambile ya mume ndo nimeunia zaidi. What a shamelesa society. Hivi siku hizi ile Elimu watu wanagundwa ilishaisha? Ama haizongatiqu tena?
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app