Rafiki yangu kambambikia mumewe watoto

Wakati wa kumbambikia hao watoto mbona hukuja kuomba ushauri huku??nyie wote ndo walewale
 
Dah jamaa akija kugundua watatu sio wake yatatokea Yale Yale ya mtu kumchinja mkewe,kusalitiwa na mke au mpenzi inauma sana lakini + na kutiliwa mimba na kulea watoto ambao sio wako inauma zaidi.

Huyo shoga ako hafai kabisa katika jamii Yani amemfanyia mtu dhambi hivyo na Bado anamponda.!!
 
Mshauri amwambie ukweli lakini asimwambie wakiwa wawili,labda aende polisi dawati la jinsia na watoto Kisha Kila kitu kikamilikie na kimalizikie hapo hata nyumbn arud na polisi wapeana talaka atokomee mbali shetani mkubwa huyo
 
Kuna case kama hyo ishawah tokea mtaani..mama karopoka tu watoto c wako..alichofanya baba wa kambo aliwalisha watt wote watatu sumu afu akaenda kunoa shoka yake kamsubiria mke..kufika jion kuingia tu ndan anatahamak watt wote wamekufa nae kacharazwa za kutosha afu na yeye kajimalizaa..ilikuwa ni zaid ya maafa
 

Kama uko sahihi hivi
 
Mshauri amwambie tu ili jamaa aamue mwenyewe. Watu wana tabia za kishetani kabisa!
 
Ila wake za watu sio waoga kabisa. Haka katabia ka kuliwa nje ya ndoa mpaka kubeba na mimba nimekashangaa kweli. Japo nimeambiwa ni kawaida hiyo hata zamani mabibi zetu walifanya sana na kina babu walikua wanajua ila ndo walishachagua kuwa social fathers.
 
Mambo mengine yaacheni huko ivi unafikiri hili kuna mtu anaweza kulishugulikia bila kusababisha matatizo zaid acheni hizo mnaongeza taharuki bule
 
Akamuambie wakiwa kituo cha polisi kwa usalama wake
 
kwa hili hata shetani atakaa pembeni aangalie..

ni zaidi ya unyama
 
"Shika Jembe Ukalime" kwani huyajui ya mbeleni (maana huwa kama hamjielewi). Uamuzi ni wake yeye.
 
Hao wanafanana akili wote yeye na huyo shoga ake. Kwanza jiulize walikuwa wanaongelea kitu gani had kufikia hatua ya kianza kuoneshwa picha za mtu na mme wake wakiwa faragha na hivyo vibamia?
Hapo pa kuonyeshana mambile ya mume ndo nimeunia zaidi. What a shamelesa society. Hivi siku hizi ile Elimu watu wanagundwa ilishaisha? Ama haizongatiqu tena?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hapo pa kuonyeshana mambile ya mume ndo nimeunia zaidi. What a shamelesa society. Hivi siku hizi ile Elimu watu wanagundwa ilishaisha? Ama haizongatiqu tena?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Elimu hipi hyo!?? Hii ya sahiv ya makungwi walioshindwa na ndoa zao na yakutazama porn unategemea ije iwakomboe? Ama ya kitchen part ya siku moja?

Zaman mwali aliandaliwa mda mrefu na kufundishwa mengi tofauti na ilivyo kwa waolewaji/waowaji wa sasa.
Yan inasikitisha sana mbaya zaidi kumtukana/kumpandishia sauti mme wake mbele ya watoto hii ni hatari sana kwa malezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…