Rafiki yangu kamfumania mkewe gesti

Mume anampandia hakuna kuandaana kwanini asiumie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kua na mawazo ni lazima....mke anauma. Ukiwaza unavyobanjuana nae,,miguno,,majina tofautitofauti anayokuita ya kimahaba.....lazma uende bar upate K vant kubwa angalau uwaze upya wapi unakosea. Yaan wanawake hawanaga fomula kwakweli...unaweza kumjali kwa kila kitu kumbe Kuna kichaa akija omba diko anamfumua..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ndo madhara ya kufumania sasa angekuwa hajafumania wala asingekuwa na mawazo kias iko.
Tatizo linaanzia kwa aliyemwambia, asingeambiwa wala asingekuwa na hali hiyo.
Ila shida zaidi na shida yenyewe ni mkewe kuamua kufanya alilolifanya.
 
Dah!! Pole yake. Kuna wanawake wengine hawajielewi kabisa. Sijui ata huwa wanatafutaga kitu gani kabisa.
 
Inapouma zaidi ni kuwa "alimkuta mke anamalizia kuvaa nguo"ina maana kuwa tayari alikwisha liwa
 
Pamoja na kuchepuka kwake haija kupunguzia uzito we usiji stress kihivyo maana maisha hayawezi kwenda vile unavyotaka wewe bali imani tu ndio ulinzi wa mazingira yetu duniani
 
Hao ndio wanawake bwana.... Yaani wanatembea na mgodi wao wee ukiweka roho yako kwake lazima utalia tuu
 

Watoto? Nitamuacha hata kama ana mtoto wa miezi 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…